Kwa wajuvi wa Biblia, ni kweli Mfalme Daudi alipata UKIMWI kutokana na kupenda wanawake ovyo?

Kwa wajuvi wa Biblia, ni kweli Mfalme Daudi alipata UKIMWI kutokana na kupenda wanawake ovyo?

WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.

Tumesikia Yesu ana mke na sasa tunaambiwa mfalme Daudi alikufa kwa ngoma, kesho utasikia baadhi ya manabii walikuwa waganga
Hakika tunaangamia kwa kukosa MAARIFA!
 
Hongereni na majukumu wanajukwaa.

Juzi jumapili nilikuwa nasikiliza mahubiri ya kuhani na muonaji Mwalimu MUSA RICHARD MWACHA, mahubiri yalikuwa yanahusu ukimwi. Sasa katika mahubiri yale nikamsikia akisema kuwa Mfalme DAUDI nae alipataga HIV (UKIMWI) kutokana na kupenda kwake wanawake hovyo

Kwa wajuvi wa Biblia je kuna mstari wowote unaonyesha hii taarifa? Na kama ni kweli kumbe basi huu ugonjwa umeanza zamani sana. Naweka na sehemu ya mahubiri yake maana niliyarekodi japo sikurekodi mpaka mwisho.
Na aliuguzwa hapo magomeni mapipa kwani hata neno mapipa limetokana na kuwa dawa za kumuuguza mfalme daudi zilikuwa zinachemshiwa katika mapipa hapo magomeni.Uliza lingine
 
I never said that I know..., indeed am all for each and their own.., but give me facts any day and am ready to sway the other way....

Linapokuja suala la Imani its hard and wastage of time to try to say that you don't believe what you believe; that's your individual truth..., to try and shove what you believe into others is not Kosher.....

But as a Community we need Empirical Truths based on facts..., anything else should remain for individuals as they see fit....
Ukitaka uelewe nilichokwambia anza kusoma biblia mwenyewe kila siku, tuone kama utakua kama Yuda. Biblia ni kitabu chanye kukufundisha mazuri tu kwa nguvu ya Roho mtakatifu.
 
Hongereni na majukumu wanajukwaa.

Juzi jumapili nilikuwa nasikiliza mahubiri ya kuhani na muonaji Mwalimu MUSA RICHARD MWACHA, mahubiri yalikuwa yanahusu ukimwi. Sasa katika mahubiri yale nikamsikia akisema kuwa Mfalme DAUDI nae alipataga HIV (UKIMWI) kutokana na kupenda kwake wanawake hovyo

Kwa wajuvi wa Biblia je kuna mstari wowote unaonyesha hii taarifa? Na kama ni kweli kumbe basi huu ugonjwa umeanza zamani sana. Naweka na sehemu ya mahubiri yake maana niliyarekodi japo sikurekodi mpaka mwisho.
Ilikuwa ni Covid-19
 
Ukitaka uelewe nilichokwambia anza kusoma biblia mwenyewe kila siku, tuone kama utakua kama Yuda. Biblia ni kitabu chanye kukufundisha mazuri tu kwa nguvu ya Roho mtakatifu.
Narudia tena paragraph yangu ya pili hapo juu....

Linapokuja suala la Imani its hard and wastage of time to try to say that you don't believe what you believe; that's your individual truth..., to try and shove what you believe into others is not Kosher.....

Kuamini kwangu au kutokuamini hakupunguzii wala kuongezea wengine kuamini au kutokuamini..., Just like a Glass of wine in which some drink it and become wise while others get drunk so are people of faith
 
Kwa wajuvi wa Biblia je kuna mstari wowote unaonyesha hii taarifa? Na kama ni kweli kumbe basi huu ugonjwa umeanza zamani sana. Naweka na sehemu ya mahubiri yake maana niliyarekodi japo sikurekodi mpaka mwisho.
Ndiyo maana tunahitaji kuelewa zaidi kuhusiana na UKIMWI kiujumla.

Upungufu wa kinga mwilini unaweza kujitokeza kama matokeo ya kawaida tu ya kuwa na wapenzi wengi hauhitaji kirusi. Ngoja nikopi sehemu ya maelezo ya uzi fulani uliofutwa kuhusu faida za UKIMWI;
3. Humsaidia mwenye wapenzi wengi kuvumilia aina mbalimbali za bakteria za wapenzi wake; Wapenzi wanapaswa kushare wadudu walionao au at least kutopambana na wadudu waliopo katika biological profile ya wapenzi wao. Ukiwa huna mpenzi kinga yako inabakia yako huruhusu mdudu mwingine inavumilia wadudu ulionao tu. Ukiwa na mpenzi mmoja utavumilia wako na wa huyo mpenzi wako. Ukikataa unakuwa na aleji nae ohoo!! Wakiwa wengi labda saba unawavumilia wooote hao kiasi ambacho kinga yako inabidi iwe chini sana kuliko kawaida……. Ndiyo unaitwa upungufu wa kinga mwilini.

Sasa kutokana na tafiti zinazoendelea inaonesha kwamba kila mwanadamu anazo aina tofauti tofauti za wadudu/bakteria mwilini mwake. Inaitwa microbiome. Kwa hiyo kila mpenzi anayo mamilioni ya bacteria ambao wengine unao na wengine ni wapya kabisa kwako. Na ili muishi pamoja basi inawapasa kuvumiliana na zaidi kushirikishana kila mmoja akimgawia mwenzake na kupokea asichonacho.

Pata hii hint: ‘As many as 80 million bacteria are transferred during a 10 second kiss, according to research published in the open access journal Microbiome. The study also found that partners who kiss each other at least nine times a day share similar communities of oral bacteria.’
 
Mwishowe mtaambiwa alikufa Kwa Corona..

Daudi alikufa akiwa Mzee kabisa!
Hadi akapewa na Binti (Suria) amtunze kwenye uzee wake ..
Ambaye baadae mwanae alimgonga pia na hakupata ukimwi Wala Nini..

Kasome kitabu Cha samweli 1&2 na wafalme 1&2,
Someni Biblia zipo mpaka kwenye simu ni Bure tu..
 
Maarifa potofu/yasiyo sahihi ni hatari kuliko ujinga/upumbavu.
 
Aids iligundulika kwa mara ya kwanza miaka ya 1980,
Biblia agano la kale na agano jipya zilikuwa zimeshaandikwa kwa wakati huo
 
Ukimwi-Ukosefu wa kinga mwilini.
Ila hapo aliposema Umalaya Inafikirisha sana;
.Enzi ya Unabii malaya walipatikana vp?
.Manabii wengi walimiliki wanawake wengi.
 
Kuna mwingine Sijui ni wa nchi gani ile amejizolea umaarufu mkubwa Eti namba ya Mungu [emoji1787]

Hongereni na majukumu wanajukwaa.

Juzi jumapili nilikuwa nasikiliza mahubiri ya kuhani na muonaji Mwalimu MUSA RICHARD MWACHA, mahubiri yalikuwa yanahusu ukimwi. Sasa katika mahubiri yale nikamsikia akisema kuwa Mfalme DAUDI nae alipataga HIV (UKIMWI) kutokana na kupenda kwake wanawake hovyo

Kwa wajuvi wa Biblia je kuna mstari wowote unaonyesha hii taarifa? Na kama ni kweli kumbe basi huu ugonjwa umeanza zamani sana. Naweka na sehemu ya mahubiri yake maana niliyarekodi japo sikurekodi mpaka mwisho.
Ukimw ni upungufu wa kinga mwilini hivyo kila binadam haijalish wa lin ana uwezo wa kupungukiwa kinga
 
Back
Top Bottom