Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 564
WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.
Tumesikia Yesu ana mke na sasa tunaambiwa mfalme Daudi alikufa kwa ngoma, kesho utasikia baadhi ya manabii walikuwa waganga
Watu wanashindwa kutofautisha[emoji28]Alipata HIV au alipata AIDS?
Mkuu hebu tufundishena sisi mnavyopiga story na Mungu.kinachotuponza watu wengi ni uvivu na hatuko tayari kutatua changamoto zetu wenyewe na katika hili tutazunguka sana kwa manabii na watumishi na hakuna tutakachofanikiwa.
- mapungufu ya watu wengi na hasa wanawake yamenisaidia kujifunza zaidi na mwisho wa siku nimeelewa kuwa ni uvivu na kupenda kuwa wajinga ndiko kunakosababisha udhaifu wao.
- natamani watu wajielewe wao wameubwaje na uhusiano wao ukoje na MWENYEZI MUNGU na uwezo wao wa kuwasiliana na MUNGU ukoje?
- wengi wameendelea kuburuzwa kwa kupenda ibada za mazingaombwe na hapa ndio chanzo cha manabii wengi kuona fursa kwao.
- MWENYEZI MUNGU awasaidie kwa kweli.