Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hivi Baba wa Taifa naye alikufa kwa ugonjwa gani? Maana sikuwepo Tanzania.πππ
UKIMWI ni ugonjwa unaosababishwa na Virus.
Virus Kwa Asilimia kubwa ni Man-made.
Kipindi cha Daudi palikuwa na Teknolojia ya kuunda virus hapo ndio swali unapaswa ujiulize kabla hujatafuta majibu mengine
Yesu mkewe Maria magdalenaWATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.
Tumesikia Yesu ana mke na sasa tunaambiwa mfalme Daudi alikufa kwa ngoma, kesho utasikia baadhi ya manabii walikuwa waganga
Ukosefu wa Kinga mwilini lakini siyo ukimwi- kwa mujibu wa dotchvele siku hiyo ya taarifa saa Saba mchanaHivi Baba wa Taifa naye alikufa kwa ugonjwa gani? Maana sikuwepo Tanzania.
Ila biblia kwa kumtusi Mungu na manabii wake haijamboMafalme Daudi alitenda dhambi ya kutembea na mke wa Huria ambaye alikuwa nia askari wake na haikutosha akamtuma mkuu wa kikosi cha Jeshi amuweke mstari wa mbele, kilichotokea Huria akafa.
Daudi alikuwa kashampa mimba mke wa Huria, MUNGU akakasirika ndio mfalme akaanza kuumwa ugonjwa wa Tauni...
Huo ugonjwa wa Tauni, ndio Kuhani anasema ni UKIMWI, pia alisema ulikuwa ugonjwa wa wa falme kwakuwa walikuwa na wake wengi...
Hata Hezekia pia aliugua Tauni...
Ukisoma Zaburi 6:6... utaona mfalme Daudi alivyokuwa akimlilia Mungu amponye...
Inatakiwa kufanya Toba ya kweli ukifanya uzinzi...
Mariam Magdalena sio mke wa YESU...Yesu mkewe Maria magdalena
Yesu alipofufuka wa kwanza kufika Nani!?..ukaribu wa yesu na Maria unatia Shaka,yesu aliacha dini mikononi mwa Maria,Ila mfumo dume ukawa na husda,ukamtoa Maria karibu na yesu na kudai alikua Malaya..watu mpaka wanabusiana,yesu akiwa anatengeneza zake stuli Maria yupoMariam Maglena sio mke wa YESU...
Ila alikuwa mwanamke kahaba...
Alisikia YESU yupo kwa Simon Mkoma akaenda huko ili asamehewe...
Alipofika akajipenyeza mpaka kwa YESU akaanza kulia kwa machozi miguuni mwa YESU huku akifuta miguu ya YESU kwa machozi na kumpaka mafuta miguu yake.
YESU alivyoona Toba ya kweli ya Mariam magdalena akamsamehe dhambi...
Toka siku hiyo aliposamehewa alikuwa akikaa chini ya miguu ya YESU na hili ndilo lililopelekea kuitwa mkewe...
Ni kama Leo Mtu akiokoka anakuwa karibu na YESU...
Soma Luka : 7: 37 na Luka 8: 2
Sio kweli, ww hujawai kuokoka. Ukitaka uonje utamu wa Yesu okoka, ndipo utakapojua hujui.We amini unachoamini tu..., ingawa kwa enzi hizo wanawake wengi wala haikuwa tatizo ndio ilikuwa ubabe (na hapa siongelei Biblia naongelea enzi zile wakati Biblia inatangazwa / promoted) ila tukija kwa wake Suleimani / Solomon nae vipi ?...
Pili ukifuata sana haya maandiko huenda na wewe unaweza ukafanya mbinu za kumuua rafiki yako ili uchukue mke wake au hata kumtoa mwanao sadaka / kutaka kumtoa sadaka eti sababu una Imani kali au umeambiwa ufanye hivyo....
Anyway... to each his/her own....
Wa kwanza alikuwa ni Mariam magdalena, na ni kwasababu toka aliposamehewa dhambi alimwamini YESU, imani yake ilikuwa kubwa na ndio iliyopelekea kumuona YESU alipofufuka, na akawa mwanamke wa kwanza kutangaza habari za YESU.Yesu alipofufuka wa kwanza kufika Nani!?..ukaribu wa yesu na Maria unatia Shaka,yesu aliacha dini mikononi mwa Maria,Ila mfumo dume ukawa na husda,ukamtoa Maria karibu na yesu na kudai alikua Malaya..watu mpaka wanabusiana,yesu akiwa anatengeneza zake stuli Maria yupo
[emoji120] AmenSio kweli, ww hujawai kuokoka. Ukitaka uonje utamu wa Yesu okoka, ndipo utakapojua hujui.
Unajua maana ya nabii!!..hakuna nabii siku hizi,hiyo kudai yesu hakua na mke ni hila za mfumo dume kanisani,ili kumuondoa pichani Maria magdalenaWa kwanza alikuwa ni Mariam magdalena, na ni kwasababu toka aliposamehewa dhambi alimwamini YESU, imani yake ilikuwa kubwa na ndio iliyopelekea kumuona YESU alipofufuka, na akawa mwanamke wa kwanza kutangaza habari za YESU.
Hata sasa tunatofautiana namna ya Imani zetu na kumwamini YESU ndio maana kuna Manabii, Kuhani, na kuna wanafunzi ambao wanamwamini YESU...
Wengine wana maono, wengine wanahubiri, wengine wanaponya...
Mambo ya mwili ni mwili na roho ni roho...Unajua maana ya nabii!!..hakuna nabii siku hizi,hiyo kudai yesu hakua na mke ni hila za mfumo dume kanisani,ili kumuondoa pichani Maria magdalena
I never said that I know..., indeed am all for each and their own.., but give me facts any day and am ready to sway the other way....Sio kweli, ww hujawai kuokoka. Ukitaka uonje utamu wa Yesu okoka, ndipo utakapojua hujui.
ebu tuthibitishe hilo na ss tupate kufahamu huo ukweliUnajua maana ya nabii!!..hakuna nabii siku hizi,hiyo kudai yesu hakua na mke ni hila za mfumo dume kanisani,ili kumuondoa pichani Maria magdalena
ChapuMambo ya mwili ni mwili na roho ni roho...
Endelea kuwa na moyo mgumu...
Kaangalie the passion of christebu tuthibitishe hilo na ss tupate kufahamu huo ukweli
kwaiyo unazungumzia movie? Vipi kuhusu kabla ya hio passion of Christ?Kaangalie the passion of christ
Tauni ni neno la kiarabuMafalme Daudi alitenda dhambi ya kutembea na mke wa Huria ambaye alikuwa nia askari wake na haikutosha akamtuma mkuu wa kikosi cha Jeshi amuweke mstari wa mbele, kilichotokea Huria akafa.
Daudi alikuwa kashampa mimba mke wa Huria, MUNGU akakasirika ndio mfalme akaanza kuumwa ugonjwa wa Tauni...
Huo ugonjwa wa Tauni, ndio Kuhani anasema ni UKIMWI, pia alisema ulikuwa ugonjwa wa wa falme kwakuwa walikuwa na wake wengi...
Hata Hezekia pia aliugua Tauni...
Ukisoma Zaburi 6:6... utaona mfalme Daudi alivyokuwa akimlilia Mungu amponye...
Inatakiwa kufanya Toba ya kweli ukifanya uzinzi...