Kwa wakongwe tuu. Kumbukizi zenye simanzi

Umetisha sana mshana jr.asilimia 90 ya picha ulizopost nimeshiriki.yalikua maisha yaliyojaa tabasam sanaaa bila ya hofu ya kesho.hatukujua muda hausimami.u brought nice memories asantee
Afrika hatutunzi kumbukumbu kwa picha, yaani hiyo michezo kariba yote tumecheza lakini picha za magiza sizioni naona sijui wahindi tu
 
Mkuu; Asante sana. Na wazazi wa kileo wamo humo-humo mtindo mmoja. Mzazi (mama)anambembeleza mtoto kwa kumpa smartphone aangalie katuni ili anyamaze kulia. Wazazi hao hao wanawanunulia watoto juice za dukani lakini hata siku moja hawajiulizi Ni shamba gani hilo la maembe linalozaa mwaka mzima na linatosheleza nchi nzima Tz na ziada inabaki??? Tusipokubali kubadilika kwa hiari; , visukari, presha, figo, ini vitaendelea kututafuna
 
Ukuti Ukuti wa meme wa meme tumpeleke mnazi mmoja.

Kula tumbakishie baba kula tumbakishie baba.
Kuna mistari umeiruka hapo...
Mwenzetu mwenzetuuu
Kagongwaa kagongwaa
Na nininii na niniiii..

NB: wakati huo hospital ya Mnazi mmoja ilikuwa ndio kama Muhimbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…