Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Tanzania ilipomvamia idd amini waganda wangapi wasio na hatia walikufa? Je Tanzania alishinda kwa ajili ya kuua raia? Idd amini aliua raia wengi kuliko Tanzania ilivyoua sasa wewe vita unavijua kweli au ndio umekalia ujinga ujinga tu ipo siku mnachokitaka cha kuua raia kitakuja. Iwapo Israel atapiga raia wa Irani hilo halina shakaNasikia Netanyahu na makamanda wake wote wameuwawa kwa mkong'oto wa Iran!!! Kama walivyouwawa makamanda wa Hizbollah
Iran imeharibu sherehe ya Netanyahu ya kuonekana "Hero"baada ya mafanikio yake ya kijeshi ya wiki mbili zilizopita. Waisrael wakipewa shida wasiweze kwenda bar kunywa, kwenda kazini, kushindwa kwenda masokoni kufanya shopping watamgeuka Netanyahu mapema tu.Kwa namna hyo waisrael watamfurusha netanyau maana hawapendi wapate tabu hata kidogo hao
Watu wenye hizi imani huwa wanachekesha sanaHalafu kuna waafrika wajinga kila siku wanasema Israel ni taifa linalolindwa na Mungu.
Haya huyo Mungu, Kashindwaje kuzuia hayo makombora yasitue kwenye ardhi ya taifa lake?