Kwa wale ambao hawakuona "vimondo" vya Iran vikikung'uta Israel basi ushahidi mzuri uko katika video hizi.

Kwahiyo Netanyau amekubali nchi yake iwe uwanja wa vita Kwa manufaa ya Marekani na uingereza

Hana tofauti na Zeresk wote ni wajinga tu
Netanyahoo ni mjinga sana analeta ubishi wa kizamani ona uzee ule wa yeye kukimbia kama ngiri kwenye mapango🤣🤣🤣
 
Naona watu mnajipa moyo tu!
Ulikuwa unauliza Irani wako wapi mbona wanachapwa daily?.

Sasa umeona lakini jinsi vimondo vilivyoshuka hapo Tel Aviv?

Hiyo sasa ni trela, Israel akijitutumua kupiga Iran, basi high tech industries zote huko Tel Aviv zitageuka majivu
 
Niliuliza wapi na lini kuwa ā€œIrani wako wapiā€?
 
šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ˜‚šŸ˜…šŸ˜‚
3387.jpg
 
Back
Top Bottom