Kwa wale ambao hawakuona "vimondo" vya Iran vikikung'uta Israel basi ushahidi mzuri uko katika video hizi.

Kwa wale ambao hawakuona "vimondo" vya Iran vikikung'uta Israel basi ushahidi mzuri uko katika video hizi.

Duh hii ni hatari sana tunapoelekea huko sio mambo ya kusherehekea. Tutakaoathirika ni sisi Waafrika.

Hauhitaji kuwa na PhD kujua kwamba Israel ikipigana vita moja kwa moja na Iran basi WORLD WAR 3 itakuwa imeanza officially..

Kumbuka Iran ni major Oil producer duniani hivyo mafuta yatapanda bei duniani bila shaka yoyote..
 
video akiiona Netanyahu hii
Lakini mbona video za uharibifu uliofanyika hakuna? Tunaona tu makombora yakitua nikajua basi kufikia leo tutapata picha za uharibifu lakini bado picha ni zile zile za jana za makombora. Wekeni na za uharibifu. Hapo ni kama work done =0
 
Ina maana yeye hana uwezo wa kuweza kupata madhara ya mashambulizi aliyoyafanya anasubiri Israel ndiyo wampostie? Mbona kama ajabu hii. Video zote ni za vijikombora vikiruka na kutua tu
Iran hana shida anaona kule target zake zimepiga 90% Israel yeye ndio anazuia watu wasipost madhara aliyo yapata 😄
 
Iran hana shida anaona kule target zake zimepiga 90% Israel yeye ndio anazuia watu wasipost madhara aliyo yapata 😄
Sasa lengo la Iran ilikuwa makombora kupita au ku hit target na kuleta madhara?
 
Duh hii ni hatari sana tunapoelekea huko sio mambo ya kusherehekea. Tutakaoathirika ni sisi Waafrika.

Hauhitaji kuwa na PhD kujua kwamba Israel ikipigana vita moja kwa moja na Iran basi WORLD WAR 3 itakuwa imeanza officially..

Kumbuka Iran ni major Oil producer duniani hivyo mafuta yatapanda bei duniani bila shaka yoyote..
Kwa hio hapo una maanisha mwenye umuhimu kwa dunia ni Iran ,Israel yakufutwa maana hakuna cha maana zaid ya jina taifa teule
 
Hakuna ww3 huyo muisrael backup yake kubwa ni marekani tuh ,alies wengine washakua mdebedwo
Ila upande wa pili watu wako moto kweli kweli
 
Back
Top Bottom