Ustadh tongwe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 717
- 1,903
Usijisumbue hao hata uwawekeee video katika Imani Yao wanaamini Israel haiwezi kushambuliwa na yeyote ni taifa teule man kuna mmoja kaonyeshwa video missiles zina land akasema hyo video ni reverse ya iron dome missiles
Tena ni iran mashia ambao sunni wanawaita makafiri vilevileπKwenye hii Vita Mwarabu kashindwa sasa hivi wanaopigana ni Wairan DIRECT na US lazima ataingia DIRECT.
Lakini mbona video za uharibifu uliofanyika hakuna? Tunaona tu makombora yakitua nikajua basi kufikia leo tutapata picha za uharibifu lakini bado picha ni zile zile za jana za makombora. Wekeni na za uharibifu. Hapo ni kama work done =0video akiiona Netanyahu hii
Ina maana yeye hana uwezo wa kuweza kupata madhara ya mashambulizi aliyoyafanya anasubiri Israel ndiyo wampostie? Mbona kama ajabu hii. Video zote ni za vijikombora vikiruka na kutua tuIsrael anawazui watu wasionyeshe video silaha za Iran zilivyo piga π
View: https://youtu.be/0Otss4MxvR4?si=UnVp7tkdoKSeyXiP
Kabisa mkuu.Watu wenye hizi imani huwa wanachekesha sana
Akishinda hezbollah utasikia Allah mjanja akishinda Israel utasikia mungu wa majeshi katenda , kuna vituko sana humu.Kabisa mkuu.
ulitaka vilipuke vingapi ili ihesabike zayuni kapigwa?Ila ni kama vingi havikulipuka wala kulipua maeneo husika
Ni kama vile imemsusia Netanyahu..halafu mfumo kama huo ndo saudia na Europe wanautaka takataka kabisaJana Iron dome nazo zimeingia kwenye shelter kukimbia vimondo vya muiran! π
Iran hana shida anaona kule target zake zimepiga 90% Israel yeye ndio anazuia watu wasipost madhara aliyo yapata πIna maana yeye hana uwezo wa kuweza kupata madhara ya mashambulizi aliyoyafanya anasubiri Israel ndiyo wampostie? Mbona kama ajabu hii. Video zote ni za vijikombora vikiruka na kutua tu
Sasa lengo la Iran ilikuwa makombora kupita au ku hit target na kuleta madhara?Iran hana shida anaona kule target zake zimepiga 90% Israel yeye ndio anazuia watu wasipost madhara aliyo yapata π
Kwa hio hapo una maanisha mwenye umuhimu kwa dunia ni Iran ,Israel yakufutwa maana hakuna cha maana zaid ya jina taifa teuleDuh hii ni hatari sana tunapoelekea huko sio mambo ya kusherehekea. Tutakaoathirika ni sisi Waafrika.
Hauhitaji kuwa na PhD kujua kwamba Israel ikipigana vita moja kwa moja na Iran basi WORLD WAR 3 itakuwa imeanza officially..
Kumbuka Iran ni major Oil producer duniani hivyo mafuta yatapanda bei duniani bila shaka yoyote..