green rajab JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 12,387 Reaction score 39,119 Oct 2, 2024 #41 Wazolee said: Kwahiyo Netanyau amekubali nchi yake iwe uwanja wa vita Kwa manufaa ya Marekani na uingereza Hana tofauti na Zeresk wote ni wajinga tu Click to expand... Netanyahoo ni mjinga sana analeta ubishi wa kizamani ona uzee ule wa yeye kukimbia kama ngiri kwenye mapango🤣🤣🤣
Wazolee said: Kwahiyo Netanyau amekubali nchi yake iwe uwanja wa vita Kwa manufaa ya Marekani na uingereza Hana tofauti na Zeresk wote ni wajinga tu Click to expand... Netanyahoo ni mjinga sana analeta ubishi wa kizamani ona uzee ule wa yeye kukimbia kama ngiri kwenye mapango🤣🤣🤣
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Oct 2, 2024 #42 Naona watu mnajipa moyo tu!
M Missile of the Nation JF-Expert Member Joined May 24, 2018 Posts 15,101 Reaction score 56,054 Oct 2, 2024 Thread starter #43 Nyani Ngabu said: Naona watu mnajipa moyo tu! Click to expand... Ulikuwa unauliza Irani wako wapi mbona wanachapwa daily?. Sasa umeona lakini jinsi vimondo vilivyoshuka hapo Tel Aviv? Hiyo sasa ni trela, Israel akijitutumua kupiga Iran, basi high tech industries zote huko Tel Aviv zitageuka majivu
Nyani Ngabu said: Naona watu mnajipa moyo tu! Click to expand... Ulikuwa unauliza Irani wako wapi mbona wanachapwa daily?. Sasa umeona lakini jinsi vimondo vilivyoshuka hapo Tel Aviv? Hiyo sasa ni trela, Israel akijitutumua kupiga Iran, basi high tech industries zote huko Tel Aviv zitageuka majivu
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Oct 2, 2024 #44 Missile of the Nation said: Ulikuwa unauliza Irani wako wapi mbona wanachapwa daily?. Sasa umeona lakini jinsi vimondo vilivyoshuka hapo Tel Aviv? Hiyo sasa ni trela, Israel akijitutumua kupiga Iran, basi high tech industries zote huko Tel Aviv zitageuka majivu Click to expand... Niliuliza wapi na lini kuwa “Irani wako wapi”?
Missile of the Nation said: Ulikuwa unauliza Irani wako wapi mbona wanachapwa daily?. Sasa umeona lakini jinsi vimondo vilivyoshuka hapo Tel Aviv? Hiyo sasa ni trela, Israel akijitutumua kupiga Iran, basi high tech industries zote huko Tel Aviv zitageuka majivu Click to expand... Niliuliza wapi na lini kuwa “Irani wako wapi”?