Kwa wale ambao mpaka sasa hawajaelewa falsafa ya kocha wa Yanga Gamond njooni hapa mpate somo

Mimi shabiki wa yanga naahidi kuusoma walaka huu kwa makolo wote hadi watoke damu
 
Mechi mbili, goli 10, point 6, tunaongoza ligi.
Braza!... umeshasema mechi 2, timu kufungwa goli 5 zisikutoe ufaham et ata hao Yanga walishawahi kufungwa hizo goli 5 na maisha yakaendelea safi tu. Sasa wamefungwa KMC na JKT yani ndo imekua stoorii duuh...

Pia Yanga amecheza uwanja mmoja tu, muda utaongea...

Af ishu sio kufunga goli ngapi ishu ni tuuone huo muendelezo wa falsafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…