Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
- #41
Mechi mbili, goli 10, point 6, tunaongoza ligi.Muda utaongea tu, na hizo unazoita falsafa tutaziona muendelezo wake.....
Je una Maneno? Umenuna?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi mbili, goli 10, point 6, tunaongoza ligi.Muda utaongea tu, na hizo unazoita falsafa tutaziona muendelezo wake.....
Daktari unamuona bwana Gamondi na kisimati cha mwanzo wa ligi lakini ,?Ati?
Kuna mbumbumbu wenzako wanasema anatembelea upepo wa Nabi.Daktari unamuona bwana Gamondi na kisimati cha mwanzo wa ligi lakini ,?
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Nipe mizunguko minne , nitakuja rasmi kukumbusha hapa jamvini kuwa mbumbumbu na tahira mlikuwa nyie kaka mkubwa .Kuna mbumbumbu wenzako wanasema anatembelea upepo wa Nabi.
Unasubiri meli airport, utasubili sana.Nipe mizunguko minne , nitakuja rasmi kukumbusha hapa jamvini kuwa mbumbumbu na tahira mlikuwa nyie kaka mkubwa .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mimi shabiki wa yanga naahidi kuusoma walaka huu kwa makolo wote hadi watoke damuKocha hana mpango na mfungaji bora, kocha anataka magoli, kocha an at a mchezaji yeyote ambaye yupo ndani ya box anatakiwa kufunga goli, kocha hataki ufalme wa mchezaji, kocha anataka ufalme wa Yanga.
Wale wachezaji aina ya Inonga kumkamia mchezaji Fulani ndio mfungaji muwape ujumbe, gari limewaka, Yanga I nataka ushindi tu sasa hivi, falsafa siyo nani anafunga.
Hakuna mchezaji amesajiliwa kuja kugombea kiatu cha ufungaji bora, Bali wachezaji wote wanatakiwa kuhakikisha Yanga inashinda.
Habari ndio hiyo msije mkasema sikuwaambia mapema, sasa margin ya magoli ni wachezaji wote wanaoingia ndani ya box.
Nimewaibia siri tu hizi tano tano zina muendelezo wa muda mrefu ujao kwa falsafa hii ya Gamondi.
Cc: Gang Chomba
ZilipendwaNimesoma hii Comment yako ghafla ikanijia picha ya lile goli Kibu D alilowafunga Uto..
Si kwa ubaya lakini[emoji1787]
Wenzetu wana ufalme wa chama siku asipopangwa au akatolewa ndio utaelewa maana ya mashabiki mbumbumbuKocha hataki Ufalme wa Mchezaji, anataka Ufalme wa Yanga
Hakika.
Braza!... umeshasema mechi 2, timu kufungwa goli 5 zisikutoe ufaham et ata hao Yanga walishawahi kufungwa hizo goli 5 na maisha yakaendelea safi tu. Sasa wamefungwa KMC na JKT yani ndo imekua stoorii duuh...Mechi mbili, goli 10, point 6, tunaongoza ligi.