Kwa wale tuliyowaacha wake zetu bila kuwapa talaka au kuvunja ndoa tujadili maendeleo yetu tafadhari

Mbona unatutisha kuhusiana na Swala la kuvunja chombo, kikombe au bilauri.

Kwa hiyo brother akiniletea sharubati kwenye bilauri halafu nikataka kunywa ikaniteleza na kuvunjika maana yake limbwata limenikosa?
Ndio hivyo tena unapigwa Kofi au hujui inedondokaje, mdomoni hufikishi, hata maji ya kunywa na kuoga iko hivo. Mpaka Leo Niko hivo mitego ya hivo hainipati
 

Hapa tangazo limekaa vizuri sana.utawapata wajinga wenzako
 
Wanaume naona mmeshika kasi kwa waganga nowdays.
Wanasaidia sana mimi mitego ya kifafa hainipati, hata kama njia Ina visa miguu au kama naendesha gari haviendi, nikigeuza tu inakuwa fresh.
 

Sasa kwanini humpi talaka?
 
funzo kwa wanawake; msipende kufanya jambo bila kujua kiwango halisi cha madhara/athari ya jambo hilo.
pima kwa uzani faida na hasara ya jambo unalotaka kulifanya.
 
nikamtimua mpaka Leo,

Sijadai mahari wala sijampa talaka, simfatilii simtafuti na sijawahi kuwaza kuhusu uwepo wake.
Siku akisikia umekufa anakuja kuchukua urithi wake, kwa maelezo yako yeye bado ni mke halali kwako. ujanja mwangi mbele kiza
 
Siku akisikia umekufa anakuja kuchukua urithi wake, kwa maelezo yako yeye bado ni mke halali kwako. <i>ujanja mwangi mbele kiza</i>
Kashatepeta huyo, sasa hivi mbwa sio binadamu tena, yuko huko madongo kuinama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…