Kwa wale tuliyowaacha wake zetu bila kuwapa talaka au kuvunja ndoa tujadili maendeleo yetu tafadhari

Mbona unatutisha kuhusiana na Swala la kuvunja chombo, kikombe au bilauri.

Kwa hiyo brother akiniletea sharubati kwenye bilauri halafu nikataka kunywa ikaniteleza na kuvunjika maana yake limbwata limenikosa?
Ndio hivyo tena unapigwa Kofi au hujui inedondokaje, mdomoni hufikishi, hata maji ya kunywa na kuoga iko hivo. Mpaka Leo Niko hivo mitego ya hivo hainipati
 
Heheee hii Dunia ni raha sana, nilipata bahati ya kuoa mwanamke kimasihara tu mwaka 2019 nikiwa hapa Dodoma niliishi nae maeneo ya mjimpya,.

Basi bwana nikawa na route nyingi za kwenda Kilosa, na Turiani huko kwenye kilimo Cha mpunga.

Home naacha mazaga zaga yote gunia la mpunga safeti la maharage kilo 50, mafuta Lita 20, Mazaga yote yote mkaa lile dude la elfu70.

Kumbe bhana yule demu wa kisandawe mjanja mjanja, si akaanza ukaribu na kijamaa kinacholeta mkaa pale home, kila kijamaa kisandawe pia, mwanamke akaomba yule dogo amtafutie dawa ya kunikamata kimahaba ila nianze kusomesha wadogo zake.

Bahati nzuri nikiwa turiani Nilipita maeneo ya Diombo nikaambiwa na mabaharia kuwa kuna Mzee mmoja yuko vizuri sana Kwa sisi watu wa masafa, anaweza akakuseti ukiwa popote pale usibugie limbwata au mtego wowote ule.
Kwa fujo na kusudi nilibisha sana nikasema huku turiani wote Utopolo hamna kitu.

Basi baharias wote wakanichenjia acha ujinga wewe tena wewe una wenge sana na roho nyepesi ukipenda hupepesi macho..

Twende ukapikwe acha ufala wewe. Mzee U ni noma sana acha hizo twende faster Fighter usipotee.

Nikakubali tukaenda Kwa Mzee, wakasema jieleze, nikamwambia Mzee U mi ni mtu wa masafa safari sana, Sasa naomba unisaidie nisipate mitego wa limbwata niwe naweza kushtuka kabla sijala upuuzi wowote. .

Basi akasema nendeni bandani mule niweke mambo sawa, tukamjibu hewala baba.

Basi kama kawaida ya Mzigua hachani mwili mpaka mialama ya kipuuzi ikiutokee mwilini. Akaniweka sawa, awamu ya pili akasema twende nyuma huko nikasimama kwenye kistuli huku wakiimba kuwaweka sawa mizimu.

Akamaliza nikaambiwa kabla ya kushuka kupiga miguu na mikono kama zoezi la karate. Nikapiga Kwa mbwembwe sana.

Mzee U akashangaa sana akasema unapiga karate na judo nikajibu mimi ni Master Donlee. Akacheka sanaa.

Nikafungua simu yangu nikamuonesha mikanda yangu na video kadhaa za dojo langu akakubali.

Akasema mwanangu wasandawe wazuri sana na huko dodoma mjipange pia wamo na mtavunja sana ndoa zenu Kwa walioacha wake zao DSM muwe makini.

Sasa wewe ndio umeingia mdomoni Kwa mamba Kwa hiari afadhari umewahi kuwa Jaguar, je unamfahamu Jaguar nikajibu yule mla mamba Utopolo wa nchi za Amerika ya kusini.

Akajibu acha dharau mtoto wangu jaguar ni jaguar hana ubabaifu popote pale.

Akasema mwanangu nenda sitaki pesa yako yoyote ukivuna utanipa zawadi hata debe tano5 Kwa hiari yako utaona matokeo.

Akasema kama mkeo huyo tena mpya ndio Kwanza miezi mitatu kama kafanya utundu wowote ule utavunja sana vikombe, glass, bakuli na sahani, wakati mwingine ndoo za kuogea, kama mjeuri sana na dawa zake wakati mwingine mikono yako itaganda kabisa hutagusa kitu unachokusudia wakati ambacho ni Cha hatari ikitokea ndani ya wiki fukuzo huyo mwanamke.

Matokeo ikawa kama Mzee alivyosema nilivunja vitu vingi sana na sikuwa na namna nikamtimua mpaka Leo,

Sijadai mahari wala sijampa talaka, simfatilii simtafuti na sijawahi kuwaza kuhusu uwepo wake.

Na haniwezi Kwa chochote kile sikumtendea baya lolote.

Ila nashukuru nashuhudia ndoa za DSM zinavyovunjika kisa wapindua meza wasandawe, maana hawa hata dada anampindua mdogo, mama mdogo anapinduliwa na mtoto wa dada yake.
Kula Kwa mpito inapobidi.

Dodoma mpya ya wasandawe nimeiacha pisi hata siiwazii.

Leteni visa vyenu tuliowaacha wake zetu bila talaka au kuvunja ndoa wala kudai mahari
Submission over.

Hapa tangazo limekaa vizuri sana.utawapata wajinga wenzako
 
Wanaume naona mmeshika kasi kwa waganga nowdays.
Wanasaidia sana mimi mitego ya kifafa hainipati, hata kama njia Ina visa miguu au kama naendesha gari haviendi, nikigeuza tu inakuwa fresh.
 
Si umwambie tu kuwa haupo nae.
ana mimba ya miezi 8 na ushee...
ntampa presha bure..
cheki.missed calls za kutosha..
nikipata nafasi hua naongea nae kinafki tu ila dah.. keshanitoka moyoni
Screenshot_20221211-181923.png
 
Heheee hii Dunia ni raha sana, nilipata bahati ya kuoa mwanamke kimasihara tu mwaka 2019 nikiwa hapa Dodoma niliishi nae maeneo ya mjimpya,.

Basi bwana nikawa na route nyingi za kwenda Kilosa, na Turiani huko kwenye kilimo Cha mpunga.

Home naacha mazaga zaga yote gunia la mpunga safeti la maharage kilo 50, mafuta Lita 20, Mazaga yote yote mkaa lile dude la elfu70.

Kumbe bhana yule demu wa kisandawe mjanja mjanja, si akaanza ukaribu na kijamaa kinacholeta mkaa pale home, kila kijamaa kisandawe pia, mwanamke akaomba yule dogo amtafutie dawa ya kunikamata kimahaba ila nianze kusomesha wadogo zake.

Bahati nzuri nikiwa turiani Nilipita maeneo ya Diombo nikaambiwa na mabaharia kuwa kuna Mzee mmoja yuko vizuri sana Kwa sisi watu wa masafa, anaweza akakuseti ukiwa popote pale usibugie limbwata au mtego wowote ule.
Kwa fujo na kusudi nilibisha sana nikasema huku turiani wote Utopolo hamna kitu.

Basi baharias wote wakanichenjia acha ujinga wewe tena wewe una wenge sana na roho nyepesi ukipenda hupepesi macho..

Twende ukapikwe acha ufala wewe. Mzee U ni noma sana acha hizo twende faster Fighter usipotee.

Nikakubali tukaenda Kwa Mzee, wakasema jieleze, nikamwambia Mzee U mi ni mtu wa masafa safari sana, Sasa naomba unisaidie nisipate mitego wa limbwata niwe naweza kushtuka kabla sijala upuuzi wowote. .

Basi akasema nendeni bandani mule niweke mambo sawa, tukamjibu hewala baba.

Basi kama kawaida ya Mzigua hachani mwili mpaka mialama ya kipuuzi ikiutokee mwilini. Akaniweka sawa, awamu ya pili akasema twende nyuma huko nikasimama kwenye kistuli huku wakiimba kuwaweka sawa mizimu.

Akamaliza nikaambiwa kabla ya kushuka kupiga miguu na mikono kama zoezi la karate. Nikapiga Kwa mbwembwe sana.

Mzee U akashangaa sana akasema unapiga karate na judo nikajibu mimi ni Master Donlee. Akacheka sanaa.

Nikafungua simu yangu nikamuonesha mikanda yangu na video kadhaa za dojo langu akakubali.

Akasema mwanangu wasandawe wazuri sana na huko dodoma mjipange pia wamo na mtavunja sana ndoa zenu Kwa walioacha wake zao DSM muwe makini.

Sasa wewe ndio umeingia mdomoni Kwa mamba Kwa hiari afadhari umewahi kuwa Jaguar, je unamfahamu Jaguar nikajibu yule mla mamba Utopolo wa nchi za Amerika ya kusini.

Akajibu acha dharau mtoto wangu jaguar ni jaguar hana ubabaifu popote pale.

Akasema mwanangu nenda sitaki pesa yako yoyote ukivuna utanipa zawadi hata debe tano5 Kwa hiari yako utaona matokeo.

Akasema kama mkeo huyo tena mpya ndio Kwanza miezi mitatu kama kafanya utundu wowote ule utavunja sana vikombe, glass, bakuli na sahani, wakati mwingine ndoo za kuogea, kama mjeuri sana na dawa zake wakati mwingine mikono yako itaganda kabisa hutagusa kitu unachokusudia wakati ambacho ni Cha hatari ikitokea ndani ya wiki fukuzo huyo mwanamke.

Matokeo ikawa kama Mzee alivyosema nilivunja vitu vingi sana na sikuwa na namna nikamtimua mpaka Leo,

Sijadai mahari wala sijampa talaka, simfatilii simtafuti na sijawahi kuwaza kuhusu uwepo wake.

Na haniwezi Kwa chochote kile sikumtendea baya lolote.

Ila nashukuru nashuhudia ndoa za DSM zinavyovunjika kisa wapindua meza wasandawe, maana hawa hata dada anampindua mdogo, mama mdogo anapinduliwa na mtoto wa dada yake.
Kula Kwa mpito inapobidi.

Dodoma mpya ya wasandawe nimeiacha pisi hata siiwazii.

Leteni visa vyenu tuliowaacha wake zetu bila talaka au kuvunja ndoa wala kudai mahari
Submission over.

Sasa kwanini humpi talaka?
 
funzo kwa wanawake; msipende kufanya jambo bila kujua kiwango halisi cha madhara/athari ya jambo hilo.
pima kwa uzani faida na hasara ya jambo unalotaka kulifanya.
 
nikamtimua mpaka Leo,

Sijadai mahari wala sijampa talaka, simfatilii simtafuti na sijawahi kuwaza kuhusu uwepo wake.
Siku akisikia umekufa anakuja kuchukua urithi wake, kwa maelezo yako yeye bado ni mke halali kwako. ujanja mwangi mbele kiza
 
Siku akisikia umekufa anakuja kuchukua urithi wake, kwa maelezo yako yeye bado ni mke halali kwako. <i>ujanja mwangi mbele kiza</i>
Kashatepeta huyo, sasa hivi mbwa sio binadamu tena, yuko huko madongo kuinama
 
Back
Top Bottom