Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?

Redpanther uzi mzuri...kudos...je?... huu ubaguaji wa single parent/single mother uko Afrika/Tanzania tu?
Acha niendelee na tafiti zangu....
Hukumu tunazotoa zinasababisha mtoto/watoto wajisikie kama walikuja duniani kimakosa...
Acha niendelee na tafiti zangu....
 
Single mother wengi hawajitambui labda wale waliogongwa na maisha vizuri[emoji851][emoji851][emoji851]!!!Hawa single mother ambao wamekumbatia usista duh wengi ni wadangaji ila wanataka waonekane ni super women!
Tena mkuu hili swala la u- super women linawaaribu balaa.
 
Mkuu!!!?????, Ngoja waje...
 
Usioe single Mother wengi wana laana. Mfano unaoa single Mother ambaye kazalishwa na mume wa mtu huyo ana laana ya kuingilia ndoa ya mwanamke mwenzake na kumpa maumivu. Hawa hawafai kbs, kwanza unaanzaje kuoa jitu limeshatimba huko halafu anakuja kwako hapana kwa kweli. Piga vita kuoa single Mother(PIVIKUSIMO)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] PIVIKUSIMO
 
Kwa taarifa yako, mwanamke aliyezaa amekuthibitishia tayari kuwa ana uzazi na atakuzalia watoto. Hao unaowaita "wasichana wabichi" wametoa mimba nyingi na unakutana naye alishaharibu kizazi kwa abortions au kutokana na magonjwa ya zinaa na hana uwezo wa kuzaa tena. Danganyika na muonekano wa nje ujute milele..,.
 
Ipo tofaut Kati ya single mother wa kizungu na wakitanzania
 

Ahsante Rowin [emoji120]
 

Acha kuvunga vunga Mkuu..! Labda nikuulize swali hapo hapo, Una msichana unaye date naye kwa sasa ??
Kama unaye, naamini mnafanya sex na kwa uhakika zaidi mnapigaga game bila kondomu ..! Hebu chukulia huyo demu wako akabeba Mimba unafanyaje ??
 
Kwenye betting tunaita handicap, yaani mwenzako anaingia akiwa na goal/watoto wawili au mmoja mkononi.

Acha kuwa na akili mgando Mkuu. Yeye kuzaa mtoto ni kosa ?? Hebu Chukulia huyo aliyezaa ni Dada yako Mkuu ??
 

Ahsante sana kwa support Mkuu, tuendelee kueleimishana huenda ikasaidia jamii yetu huko mbeleni.
 
Reactions: Mu7
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] PIVIKUSIMO

Kipi cha kufurahia hapo mkuu..!?? Ni mbaya sana hii, we need to be liberated psychologically. Yaani umelelewa na single mother alfu umekuwa mkubwa unakuja kuwachukia single mothers kwa nini ?? I don’t see the reason for this..!
 
With this kind of language, utaweza kweli mudu single maza?

Watu niwajinga sana, Mtu amekomalia mimi ni single mother.! Labda aje afanye hayo ili ajiridhishe. Kwanza mada sio mimi ni single mother au lah ..! Ila maada ni kwanini watu mnawachukia single mothers wakati tumelelewa na akina mama ambao walikuwa single mothers ??
Huenda makosa yalifanywa na mama zetu au zenu..!
 
Msingi wa ndoa ni moja tu, "Upendo".
Wote mpendane

Awe null,single au double mama kama mnapendana for real oa...

Usiishi kwa trend na watu wanasema nini

Ahsante sana mkuu wa mchango wako.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…