Fact Ni Kwamba mwanamke mwenye mtoto tayar Mimi siwez oa ninuksi kabsa sishaur mtu yeyote aoeAkili yako haiko sawa Mkuu.! Unaweka dini mbele kuliko uhalisi na ukweli. It’s battle between Attitude Vs Facts
Hapo naweza kuelewa....Ipo tofaut Kati ya single mother wa kizungu na wakitanzania
Baba angu anakauli yake, ukioa chuma chakavu mwanangu tusijuane katika maisha hayaKitabu kitakatifu sharti la kwanza kuliko lote ni kuoa mtu unayempenda sio unayemuhurumia. Single mom haolewi kama baba mzazi yupo hai
Hatari mzee. Handicap inahitaji ujasiri mechi haijaanza Atalanta kashapewa goli mbili hapo lazima single mother arithi utajiri wako.Kwenye betting tunaita handicap, yaani mwenzako anaingia akiwa na goal/watoto wawili au mmoja mkononi.
Mkuu naona umekuja kuwatetea single mama.Kwani huyu aliye na mtoto mmoja hawezi kukupatia first born ? Pamoja na kwamba kwake anaweza asiwe first born lakini utamuvwa kumwita first born wako bado upo .
Wewe na hao wanaosema hivyo mna tofaauti gani sasa?twenti wani senchuari single mom wanaviburi Sana isee utasikia wanaume wote ni mbwaaaaa
Wakati lenyewe ndio jibwa lililojilengesha kwa mme wa mtu likapata mimba huku likijua fika ataenda kua single mom tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba angu anakauli yake, ukioa chuma chakavu mwanangu tusijuane katika maisha haya
Fact Ni Kwamba mwanamke mwenye mtoto tayar Mimi siwez oa ninuksi kabsa sishaur mtu yeyote aoe
Baba angu anakauli yake, ukioa chuma chakavu mwanangu tusijuane katika maisha haya
Na ww ni single mother ama ni product ya single mother. Mimi sioi laana kum hao.Mkuu sioni hoja hapo, naona kama mnashaadia mambo ya hovyo hovyo tu ikiwemo kutoa mimba na kuongezeka kwa watoto wasiopata mahitaji yao muhimu ikiwemo malezi ya kutoka pande zote mbili. We need to change the way we think about single mothers, there’s nothing wrong and where do you guys get these guts aseee [emoji849][emoji849][emoji849]
Kila mtu anamtazamo wake na chaguzi zake mkuu.Nimekuja na maada tujadili na sio mambo ya kuwatetea single mothers. Hii hate juu ya hawa akina mama inatoka wapi ?? Wakati sisi wenyewe ni watoto wa single mothers, tuna dada zetu single mothers na tuna mademu single mothers ila tukiambiwa kuwaoa tunaongea shits. Eti mi siwezi kuoa single mother, seriously ? Na mpaka mnathubutu kuwaita majina ya kuwadharirisha na mnaupa thumb up Upuuzi wa kutoa mimba.
Madhara ya evinning class. Ni ukipenda Boga penda na Ua lake.ukipenda ua upende na boga lake
hakuna Cha wanaume wachache Wala Nini hivi unawajua walivyo viburi na jeuri wadada kama hao wengi hua wanakua na tamaa ya vitu vya kupita hata pindi wakiwa wabichi hata akitokea mtu serious anataka kumuoa na ana Nia ya dhati atamtolea nje kisa tu kuna mume wa mtu ana chochote kitu hawatabirikagi hao unaowatetea!Wewe na hao wanaosema hivyo mna tofaauti gani sasa?
Si wote waliojilengesha kama unavyosema. Walakini kwa takwim za kuwa wanawake ni wengi zaidi ya wanaume hakuna namna ni lazima wanawake watalazimika kuingilia mahusiano ya wenzao au la unawish wale wanaokosa waangukie ulesbian.
Kama kuna aliyekukosea mmoja usiwatupie mzigo wote.
hakuna Cha wanaume wachache Wala Nini hivi unawajua walivyo viburi na jeuri wadada kama hao wengi hua wanakua na tamaa ya vitu vya kupita hata pindi wakiwa wabichi hata akitokea mtu serious anataka kumuoa na ana Nia ya dhati atamtolea nje kisa tu kuna mume wa mtu ana chochote kitu hawatabirikagi hao unaowatetea!