[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jf raha sanaKwahiyo kituo kitaitwa MAMA MAREHEMU JOHN au?watabadilisha mtu
Jina hiloSikujua
Hakuwa mwanasiasa, alikuwa Muuzaji wa pombe za Asili yetu. By then alikuwa na kilabu kikubwa Sana, na mji ulikuwa haujatanuka, kwahiyo mizunguko (daladala) walikuwa wanashusha watu hapo na kwa kuwa hakikua kituo, pakawa panaitwa hivyo, Mama John. With time pakawa kituo kinachoeleweka. Ni kwama wanavyosema nishushe kea Aziz AlliHuyo Mama John alikuwa mwanasiasa maarufu hadi kituo cha mabasi kuitwa jina lake??
Rest easy John
Au sisi wakazi mikocheni kuna kituo chetu kinaitwa kwa mikocheni kwa wariobaHakuwa mwanasiasa, alikuwa Muuzaji wa pombe za Asili yetu. By then alikuwa na kilabu kikubwa Sana, na mji ulikuwa haujatanuka, kwahiyo mizunguko (daladala) walikuwa wanashusha watu hapo na kwa kuwa hakikua kituo, pakawa panaitwa hivyo, Mama John. With time pakawa kituo kinachoeleweka. Ni kwama wanavyosema nishushe kea Aziz Alli
Aisee amepata bahati sana huyo Mama John, kwa umaarufu wa kituo chake nilidhani angekuwa Public figure kupitia Siasani.Hakuwa mwanasiasa, alikuwa Muuzaji wa pombe za Asili yetu. By then alikuwa na kilabu kikubwa Sana, na mji ulikuwa haujatanuka, kwahiyo mizunguko (daladala) walikuwa wanashusha watu hapo na kwa kuwa hakikua kituo, pakawa panaitwa hivyo, Mama John. With time pakawa kituo kinachoeleweka. Ni kwama wanavyosema nishushe kea Aziz Alli