Kwa wale wa mkoa wa Mbeya: Mwili wa John mtoto wa Mama John umewasili Jioni hii Kyela kwaajili ya Mazishi siku ya kesho

Ok kituo maarufu sana cha Mama John karibia na hoteli ya mukulu hotel
 
Huyo Mama John alikuwa mwanasiasa maarufu hadi kituo cha mabasi kuitwa jina lake??

Rest easy John
Hakuwa mwanasiasa, alikuwa Muuzaji wa pombe za Asili yetu. By then alikuwa na kilabu kikubwa Sana, na mji ulikuwa haujatanuka, kwahiyo mizunguko (daladala) walikuwa wanashusha watu hapo na kwa kuwa hakikua kituo, pakawa panaitwa hivyo, Mama John. With time pakawa kituo kinachoeleweka. Ni kwama wanavyosema nishushe kea Aziz Alli
 
Au sisi wakazi mikocheni kuna kituo chetu kinaitwa kwa mikocheni kwa warioba
 
Pia mtuambie Kibaha kwa Mathis, huyu Mathias ni nani?
 
Hakuwa mwanasiasa, alikuwa Muuzaji wa pombe za Asili yetu. By then alikuwa na kilabu kikubwa Sana, na mji ulikuwa haujatanuka, kwahiyo mizunguko (daladala) walikuwa wanashusha watu hapo na kwa kuwa hakikua kituo, pakawa panaitwa hivyo, Mama John. With time pakawa kituo kinachoeleweka. Ni kwama wanavyosema nishushe kea Aziz Alli
Aisee amepata bahati sana huyo Mama John, kwa umaarufu wa kituo chake nilidhani angekuwa Public figure kupitia Siasani.

Nilipopita Mbeya mara ya kwanza miaka ya 2007 hakukuwa mjini sana, mwaka jana kurudi tena nikakuta wamepiga sana hatua hata hiyo mitaa ya Mama John ilibidi nitembezwe na Bajaj kuogopa kupotea 👏👏👏😀.

RIP John wa Mama John
 
Back
Top Bottom