Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

Mimi sijapitia huku,ila nimependa huu mjadala,nilikuwa nataka kumfahamu huyu fr Nderumaki ni Fabian nderumaki au ni mwingine?
Yah....Ila kwasasa ni marehemu.
 
PAMOJA X-SEMINARIAN
 
Mbona umeisahau Namupa seminary pande za Lindi, B. Membe, W. Mkapa na viongozi kibao wamesoma hapo
 
Tumsifu Yesu Kristu Waseminarist. Nimependa sana wazo la kukutana walau mara moja ama mbili kwa mwaka. wazo langu mnaonaje kama tutaanzisha Group letu Whatsap waseminari wote Tanzania? baadae tunaweza kuform hata kitaasisi Cha Waseminari.
asanteni sana
 
tatizo la waseminali wakihasi na kuingia uraian na phillosophy zao, kuwaelewa ni kazi sana..........
Usiombee mseminar akaangukia kwenye totoziiiiiii ..........hata ufunge speed gavana haitosaidia
Wewe jamaa mpuuzi sana...!

Umesema kweli tupuu..! Binafsi mugumu kueleweka kwa watu but i thank God bado namtumikia nikiwa mlei...! Asante fr. Duba st. Marry queens of apostles.(sengerena seminary) and St.Gasper seminary precious blood seminary kuu kwa malezi...
 
Tulikuwa tunaambiwa ukienda seminary tu, ukiacha basi automatic wewe ni katekista mkuu hahaha...

Nilikuwa malezi kabwe Zambia, society of African mission SMA.
 
unamkumbuka soldier na masifa yake.nakumbuka disco na movie za mara moja kwa mwezi Enzi hizo miziki ya wagadugu na yekeyeke.kule kagera kukonka mboga na nyama ya kitimoto na magovi yake
St joseph or kaengesa seminary...dah enzi za mzee matipa na sangu mkubwa kama lector...issue za kuchoma mahindi msituni....issue za kukata mkia form one...tarehe tisa mwizi wa tisa saa tisa usiku....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…