Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

Mimi sijapitia huku,ila nimependa huu mjadala,nilikuwa nataka kumfahamu huyu fr Nderumaki ni Fabian nderumaki au ni mwingine?
Yah....Ila kwasasa ni marehemu.
 
...respect kwako uliyeleta uzi huu!! Nimepata chance ya kuwapa hi ndugu zangu wa Kasita,Visiga,Don Bosco,Namupa,Dungunyi,Bihawana,Soni,Chanjale,Uru,Maua,Ujiji,Sengerema, St. Mary's Mbalizi, Rubya na wengine wote nisiowataja!! Nashukuru Mungu nilipata nafasi ya kupitia maisha ya useminari St. Peter's Seminary..... Sala, Elimu na kazi ndo ulikuwa moto wetu na imeendelea kuwa part ya maisha yangu!!
PAMOJA X-SEMINARIAN
 
Tumsifu Yesu Kristu........

Jamani mpo na maisha yanaendaje hebu tukumbushane yale maisha wakati ule tupo kitaluni kule seminarini, mambo ya masifu ya asubuhi, misa takatifu, joint masses n.k. Hakika nimeyamisi sana yale maisha visiga seminary, st.peters seminary, st.james sem, uru seminary, maua seminary, likonde sem, stella matutina(ligano), kasita sem, don bosco sem, bihawana sem, lubya sem, itaga sem...n.k...na enzi zetu nakumbuka tokeo la form four na form six yani seminary zilikuwa ziking'aa...nimekumbuka sana seminar´..
Mbona umeisahau Namupa seminary pande za Lindi, B. Membe, W. Mkapa na viongozi kibao wamesoma hapo
 
Jamani umenipeleks mbali sana mkuu...! Atakumbukwa fr. Duba(baba gambera) na fr.Wabanhu spritual directory sengerema seminary. Hawa mapadri walinifukuza 2002, nikiwa form two walinivurugia future yangu. Ila Mungu awasamehe. Maana mpaka sasa bado nasuffer of their impact to my education career.
Tumsifu Yesu Kristu Waseminarist. Nimependa sana wazo la kukutana walau mara moja ama mbili kwa mwaka. wazo langu mnaonaje kama tutaanzisha Group letu Whatsap waseminari wote Tanzania? baadae tunaweza kuform hata kitaasisi Cha Waseminari.
asanteni sana
 
tatizo la waseminali wakihasi na kuingia uraian na phillosophy zao, kuwaelewa ni kazi sana..........
Usiombee mseminar akaangukia kwenye totoziiiiiii ..........hata ufunge speed gavana haitosaidia
Wewe jamaa mpuuzi sana...!

Umesema kweli tupuu..! Binafsi mugumu kueleweka kwa watu but i thank God bado namtumikia nikiwa mlei...! Asante fr. Duba st. Marry queens of apostles.(sengerena seminary) and St.Gasper seminary precious blood seminary kuu kwa malezi...
 
Tulikuwa tunaambiwa ukienda seminary tu, ukiacha basi automatic wewe ni katekista mkuu hahaha...

Nilikuwa malezi kabwe Zambia, society of African mission SMA.
 
unamkumbuka soldier na masifa yake.nakumbuka disco na movie za mara moja kwa mwezi Enzi hizo miziki ya wagadugu na yekeyeke.kule kagera kukonka mboga na nyama ya kitimoto na magovi yake
St joseph or kaengesa seminary...dah enzi za mzee matipa na sangu mkubwa kama lector...issue za kuchoma mahindi msituni....issue za kukata mkia form one...tarehe tisa mwizi wa tisa saa tisa usiku....
 
Back
Top Bottom