Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PAMOJA X-SEMINARIAN...respect kwako uliyeleta uzi huu!! Nimepata chance ya kuwapa hi ndugu zangu wa Kasita,Visiga,Don Bosco,Namupa,Dungunyi,Bihawana,Soni,Chanjale,Uru,Maua,Ujiji,Sengerema, St. Mary's Mbalizi, Rubya na wengine wote nisiowataja!! Nashukuru Mungu nilipata nafasi ya kupitia maisha ya useminari St. Peter's Seminary..... Sala, Elimu na kazi ndo ulikuwa moto wetu na imeendelea kuwa part ya maisha yangu!!
Naam sala na kazi daimaKwa Wale tuliosoma St. Pius x makoko seminary Musoma then Uru seminary hongereni sala na kazi daima
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umeisahau Namupa seminary pande za Lindi, B. Membe, W. Mkapa na viongozi kibao wamesoma hapoTumsifu Yesu Kristu........
Jamani mpo na maisha yanaendaje hebu tukumbushane yale maisha wakati ule tupo kitaluni kule seminarini, mambo ya masifu ya asubuhi, misa takatifu, joint masses n.k. Hakika nimeyamisi sana yale maisha visiga seminary, st.peters seminary, st.james sem, uru seminary, maua seminary, likonde sem, stella matutina(ligano), kasita sem, don bosco sem, bihawana sem, lubya sem, itaga sem...n.k...na enzi zetu nakumbuka tokeo la form four na form six yani seminary zilikuwa ziking'aa...nimekumbuka sana seminar´..
Tumsifu Yesu Kristu Waseminarist. Nimependa sana wazo la kukutana walau mara moja ama mbili kwa mwaka. wazo langu mnaonaje kama tutaanzisha Group letu Whatsap waseminari wote Tanzania? baadae tunaweza kuform hata kitaasisi Cha Waseminari.Jamani umenipeleks mbali sana mkuu...! Atakumbukwa fr. Duba(baba gambera) na fr.Wabanhu spritual directory sengerema seminary. Hawa mapadri walinifukuza 2002, nikiwa form two walinivurugia future yangu. Ila Mungu awasamehe. Maana mpaka sasa bado nasuffer of their impact to my education career.
sisi tuliwaita ShuuWanokoz tulikua tunawaita VITIMBA"
salama Kaka. mimi nilipita Itaga Seminary. mnaonaje wazo la kuanzisha group la Waseminary wote?
Wewe jamaa mpuuzi sana...!tatizo la waseminali wakihasi na kuingia uraian na phillosophy zao, kuwaelewa ni kazi sana..........
Usiombee mseminar akaangukia kwenye totoziiiiiii ..........hata ufunge speed gavana haitosaidia
Axee walioxoma queen of apostles seminary! Dah! Nakmbka xana makoronya, Mira ,miviga na morning star! Dah ktambo xana, na wale makongwe wa kijogoo!
St joseph or kaengesa seminary...dah enzi za mzee matipa na sangu mkubwa kama lector...issue za kuchoma mahindi msituni....issue za kukata mkia form one...tarehe tisa mwizi wa tisa saa tisa usiku....