Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Wadau kuna mubunge mmoja hivi nijirani yangu, huwa anawashwa kwelikweli napopita pale kwao japo si mara kwa mara kupita, tatizo naogopa isije kufa na mimi, ndio Sili yangu hio nimetoa, msijaji sana , judgement sitaki mwenzio,
 
[emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]
Mimi siri yangu ambayo iko moyoni na inanitesa ni kumla mke wa jirani yangu na kumpa mimba(Zamani lakini) mpaka leo nikimwona jamaa huwa najutia sana, kweli kutoka moyoni najutia sana kitendo kile japo mkewe alikuwa mzuri sana
 
Mimi sijawahi kumwambia mtu kuwa mimi ni BIKIRA WA KIUME ,,,hadi saiv sijamwambia mtu na sitaambia watu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Haya, bana wazee na wamama wa mjini, mana hamkawii kugeuza wenzio mdebwedo
 
Jamaa yako alikosa vya kuuza, mpaka akajiuza mwenyewe.
 
Mbona umeisema sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…