Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Na kwenye hii age ndo kuna siri za kutosha ila acha tukaushe tu maana nshapigwa dawa ya mbu uvunguni nilizizuia chafya balaa,hizi fumanizi hizi!
Aisee we jamaa kiboko[emoji15] [emoji15]
 
Hahahahhhhaaaaa
 
Na hakika wote humu hakuna anaenifikia kwa kutunza siri nzito na kwa muda mrefuu,,,nina siri nyingi nimezificha nzito nzito ila kwa kuwa jadi yangu ni kutunza Basi wacha niendelee kutunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1988 ndani ya chumba cha mtihani wa kuhitimu kidato cha nne,tulipewa majibu ubaoni lakini si kwa maswali yoote baadhi walikuwa wanaruka wanaacha tufanye wenyewe. Ni siri ambayo sikuwahi kumwambia mtu yoyote.
Dhambi ya namna hii wanafunzi wengi tumeifanya
 
Kwanza siri ina muda wa kuitunza inabidi itoke tu mbona CIA wanaachiaga siri baada ya miaka fulani kama waliua au kupindua kiongozi wa nchi nk
CIA hawatoi siri zote, nyengine zinabaki kwenye makabrasha yao milele na dokomenti nyengine zinachomwa moto chini ya ulinzi mzito.
 
Siri haipo Tena umesha isema Mkuu
 
Kwa hiyo tayari.?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iko hivi wanawake wengi sana wanaliwa wakienda hospital ila huwa hawasemi
Na madokta / Nesi wengi wa kiume ni vitombi sana wanakula manesi wa kike na wadada walioko field pamoja na wagonjwa na wauguzaji

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwa hospitali zetu zilivyo du.inawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…