Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Na kwenye hii age ndo kuna siri za kutosha ila acha tukaushe tu maana nshapigwa dawa ya mbu uvunguni nilizizuia chafya balaa,hizi fumanizi hizi!
Aisee we jamaa kiboko[emoji15] [emoji15]
 
Kuna siri naisema kuna mzee mmoja anaheshimiwa sana sasa alikuja kupanga kwetu mke wake akawa amemuacha kijijini alipotoka, asubuhi nikawa nawahi shule bila kujali naenda kupeleka maji bafuni, nimakuta yupo anapiga PHd bafuni nikaa kimya sikuwahi kumsimlia mtu kama huyu mzee nilikuta anapiga shahada ya uzamilibation
Hahahahhhhaaaaa
 
Na hakika wote humu hakuna anaenifikia kwa kutunza siri nzito na kwa muda mrefuu,,,nina siri nyingi nimezificha nzito nzito ila kwa kuwa jadi yangu ni kutunza Basi wacha niendelee kutunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1988 ndani ya chumba cha mtihani wa kuhitimu kidato cha nne,tulipewa majibu ubaoni lakini si kwa maswali yoote baadhi walikuwa wanaruka wanaacha tufanye wenyewe. Ni siri ambayo sikuwahi kumwambia mtu yoyote.
Dhambi ya namna hii wanafunzi wengi tumeifanya
 
Kwanza siri ina muda wa kuitunza inabidi itoke tu mbona CIA wanaachiaga siri baada ya miaka fulani kama waliua au kupindua kiongozi wa nchi nk
CIA hawatoi siri zote, nyengine zinabaki kwenye makabrasha yao milele na dokomenti nyengine zinachomwa moto chini ya ulinzi mzito.
 
Siri haipo
Binadamu katika mazingira mbali mbali,ukumbana na majanga mbali mbali ambayo mengine ni hatari kabisa,
Kuna waliowahi kushuhudia mtu kiauawa na kukaa kimya
Kuna waliowahi kuona mtu anamloga mwingine wakatunza siri,
Kuna waliowahi kuona mwenzao anaibiwa wakakaa kimya,
Kuna waliowahi kushuhudia mtu anabakwa wakakaa kimya,
Kuna waliowahi shuhudia mtu au mke wa mtu anatembea na mwanaume mwingine wakakaa kimya,

Mi siri yangu ambayo sitakuja kuisema ni kamba nilimfumania mjomba mkubwa akiwa anatembea na mke wa mjomba mdogo alafu wakajua kwamba nimejua sikuwahi kuisema ilikanusha, yapata miaka 20 sasa,
Leo kuna rafiki yangu amenambia kwamba akiwa mdogo alimuua mtu akiwa Croatia mwaka 1994 , na hakuna aliyejua,

Mwingine (dr) akasema kuwa amewahi kumuinject mgonjwa UKIMWI kupitia syringe, na akakaa kimya maana alilipwa Hela ya kutosha


Najua na wee una siri umetunza tudokeze
Tena umesha isema Mkuu
 
Kwa hiyo tayari.?
Kuna mshkaji wangu alipigika kishenzi akawa weechat ,kumbe kuna mzungu anatafta wanaume wa kuwabandua ilikuwa mwaka 2014/5 kitu kama hicho , sasa jamaa alikuwa kapigika hana hela, katika kuchati weechat akamuona mzungu men, akamwambia nataka nyuma nakupa dollar 200 jamaa hakuchelewa, sasa siku moja nikamuomba simu yake yangu iliisha chaji, katika kupekuwa nikakuta meseji ya makubaliano ya kubanduliwa, nilishangaa sana nikaziangalia tena na tena, baadae kumrudishia simu yake na wala sijawahi kumwambia mtu yeyote yule, hata yeye sikumwambia kama nimejuaa ila nilimshusha value tokea siku hiyo nikahama na chumba nkazuga shangazi kaniita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iko hivi wanawake wengi sana wanaliwa wakienda hospital ila huwa hawasemi
Na madokta / Nesi wengi wa kiume ni vitombi sana wanakula manesi wa kike na wadada walioko field pamoja na wagonjwa na wauguzaji

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwa hospitali zetu zilivyo du.inawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom