Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Kuna siri ambazo watu ni ngumu sana kuzitoa, mfano kushiriki ngono na ndugu wa damu iwe kwa ridhaa au kubakwa. Lakini watu wengi sana wamemeza hizi siri,
 
Iko hivi wanawake wengi sana wanaliwa wakienda hospital ila huwa hawasemi
Na madokta / Nesi wengi wa kiume ni vitombi sana wanakula manesi wa kike na wadada walioko field pamoja na wagonjwa na wauguzaji

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwa hospitali zetu zilivyo du.inawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hotel flan ya wasomali hapo kariakoo inaitwa al uruba wanatengeneza eggchop ndani mayai ya plastic
Binafsi ni utaratibu wangu wa maisha huwa sikai nikala kwenye hotel wala migahawa ya wapemba wala wasomali kwasababu kama hizi
 
Aisee washkaji wa namna hii wako wachache sanaaa
 
Mwenenu Nina sili mpaka najiogopa toka nimeoa make wangu haijui tupu yangu hatari
 
Humu ndani mnajichanganya sana,Siri ni ile ambayo inakugusa wewe personally.

Siri haiwezi kumuhusisha third party,kwa sababu kama ikiwa hivyo hiyo inakuwa sio siri tena.

Hakuna siri ya mtu zaidi ya mmoja itakayobaki kuwa siri.

Binafsi siri yangu nitakufa nayo,kwa sababu a can't afford to betray myself.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina Siri nzito juu ya Tanzania na sitakuja kusema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nikipata siri mpya ile ya zamani natoa sina muda wa kutunza siri nyingi nyingi mukichwa yangu

yaani kaja john kanipa siri yake hyo ntatunza bila shaka lakin akaja ana Juma akanipa hapo itabid nitoe ya john ntabaki na ya juma
 
1. Ndugu yangu mmoja nyumba yao ilikuwa jirani sana. Siku moja nikamuona kupitia dirishani akimbaka mtoto wa jirani nyuma ya nyumba. Kitoto kilikuwa darasa la 3 na yeye akiwa 25 hivi. Sikuwahi kumwambia mtu mpaka leo.

2. Shangazi yangu aliyekuwa anakubalika sana kwa kujiheshimu akikaa Dar. Wakati fulani akaja kijijini. Tulikuwa na mpangaji mmoja mabanda ya nyumba alikuwa kitombi balaa. Basi anti nikamtonya. Hamaad siku moja akabaki peke yake nyumbani, niliporudi kutoka shule cha kwanza ilikuwa kupiga chabo mlangoni kwa mpangaji(mlango wa bati). Nikamkuta anti ndo anavaa chupi ametoka kutiwa. Ama kweli usimuamini mtu.

Ni hayo tu kwa uchache
 
aaaaah nimecheka balaa
 
Mimi kuna kaka yangu mmoja mtoto wa mama mkubwa tulikuwa tunalala wote kitanda kimoja, wakati niko mdogo alitaka kunifila, alikuwa akinigusa na mboo yake huku akinidanganya kunipa pesa, Sijawahi kuisema siri hii hadi hapa.

Huyu bro namchukia hadi kesho kutwa, sasa ivi ni dereva alipata ajali na kuvunjika mguu sijawahi kumpa pole wala kumtembelea kwake, nikikumbuka alichonifanyia utotoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mkuu pole sana aise
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…