Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
Kuna siri ambazo watu ni ngumu sana kuzitoa, mfano kushiriki ngono na ndugu wa damu iwe kwa ridhaa au kubakwa. Lakini watu wengi sana wamemeza hizi siri,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwa hospitali zetu zilivyo du.inawezekanaIko hivi wanawake wengi sana wanaliwa wakienda hospital ila huwa hawasemi
Na madokta / Nesi wengi wa kiume ni vitombi sana wanakula manesi wa kike na wadada walioko field pamoja na wagonjwa na wauguzaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi ni utaratibu wangu wa maisha huwa sikai nikala kwenye hotel wala migahawa ya wapemba wala wasomali kwasababu kama hiziKuna hotel flan ya wasomali hapo kariakoo inaitwa al uruba wanatengeneza eggchop ndani mayai ya plastic
Aisee washkaji wa namna hii wako wachache sanaaaNina siri siwezi isema kwa mdomo wala kwa maandishi, ila nilishatumu kwa imani yangu, siri hii nilimsimulia rafiki yangu mkubwa ali anisaidie kifedha ku coverup issue, kwa kuwa nilikuwa namuamini sana nilivyo anza tu akanikatiza kwa kusema nahijaji pesa ngapi nikaclear mambo ila huyu jamaa ambae alikuwa anajua hii siri japo kwa kiduchu sana alicha tangulia mbele ya haki. Ni rafiki pekee ambae nilikuwa nikimwambia kitu kinaishia hapo hapo.
Unauwakika gani kama utakufa kaburini ukifa kwa maji ukaliwa na samaki au moto ukateketea ukaisha je?Siri yangu nitakufa nayo kaburini
Mkuu ni balozi wa nyumba kumi au?Mi nilimla mke wa balozi fulani ninatunza siri wee nikaja kusema hapa kwa mafumbo
Hivi kinachofanya mke wa mtu kuwa mtamu sana nini? Nimekumbuka utamu wa mke wa balozi - JamiiForums
Mimi nina Siri nzito juu ya Tanzania na sitakuja kusemaBinadamu katika mazingira mbali mbali,ukumbana na majanga mbali mbali ambayo mengine ni hatari kabisa,
Kuna waliowahi kushuhudia mtu kiauawa na kukaa kimya
Kuna waliowahi kuona mtu anamloga mwingine wakatunza siri,
Kuna waliowahi kuona mwenzao anaibiwa wakakaa kimya,
Kuna waliowahi kushuhudia mtu anabakwa wakakaa kimya,
Kuna waliowahi shuhudia mtu au mke wa mtu anatembea na mwanaume mwingine wakakaa kimya,
Mi siri yangu ambayo sitakuja kuisema ni kamba nilimfumania mjomba mkubwa akiwa anatembea na mke wa mjomba mdogo alafu wakajua kwamba nimejua sikuwahi kuisema ilikanusha, yapata miaka 20 sasa,
Leo kuna rafiki yangu amenambia kwamba akiwa mdogo alimuua mtu akiwa Croatia mwaka 1994 , na hakuna aliyejua,
Mwingine (dr) akasema kuwa amewahi kumuinject mgonjwa UKIMWI kupitia syringe, na akakaa kimya maana alilipwa Hela ya kutosha
Najua na wee una siri umetunza tudokeze
hivi kuuona uovu unatendeka na wewe ukakaa kimya si unakua sehemu ya uovu huo?.Kabisa na hapa nimesema kwa kuwa hatujuani
aaaaah nimecheka balaaDahh hakika kuna watu usiwaambie siri kuna jamaa mmoja anaitwa uncle mecky huyu bwana huwa anajulikana kwa Umbea viunga vya dar kuna siku alimkuta jamaa mmoja anatembea na mke wa Jirani yake, jamaa alivoona vile akamvuta uncle mecky pembeni na kumpa million 1 ili atunze siri, basi uncle mecky akamhakikishia jamaa hatasema. Baada ya week jamaa akasikia uncle mecky anaumwa sana kalazwa hospital akaona akamuangalie basi vile anafika hospital anauliza kwa Dr mgonjwa anaumwa nini akajibiwa ana joto tu Kali lkn kapimwa hana maradhi yyt. Mecky akamuita jamaa ebwana eeeh chukua hii million yako utakuja kuniua maaana nimevumilia huu Umbea nimeshindwa mpk joto limepanda mwilini
hapana..Ni jina hilo jamaa aliseviwa kwenye simu ya mchepuko wake
Ukumpiga na zile picha zetu!!Nilishawai kumla mbunge flan iv acha tuuu
Mbaya zaid ni mke wa mtu maisha haya
Mkuu tuambie basiKuna vitu sitakuja kuvisema hadi nazikwa, iwe kwa anaenifahamu au asiyenifaham. Iwe ni kwa kuandika au kwa kuongea. Sitakuja kusema.
Mimi kuna kaka yangu mmoja mtoto wa mama mkubwa tulikuwa tunalala wote kitanda kimoja, wakati niko mdogo alitaka kunifila, alikuwa akinigusa na mboo yake huku akinidanganya kunipa pesa, Sijawahi kuisema siri hii hadi hapa. Huyu bro namchukia hadi kesho kutwa, sasa ivi ni dereva alipata ajali na kuvunjika mguu sijawahi kumpa pole wala kumtembelea kwake, nikikumbuka alichonifanyia utotoni.
Sent using Jamii Forums mobile app