Corosive
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 1,460
- 2,908
Walikua wanafanyaje?Siku moja usiku mnene nimekaa nyuma ya nyumba nakula kitu changu, nikasikia kama vishindo nyumba ya jirani nikapanda ukuta nichungulie ile natoa kichwa nikakutana uso kwa uso na Mzee wa ile nyumba akiwa na mwanae wa kiume, mke wake na jamaa wengine wawili wote waliona kuwa niwewaona bangi yote ilikata kichwani nikarudi ndani mbio, hawakuwahi kuniuliza chochote na mimi sikumwambia mtu yeyote yule hadi mwaka jana nilienda nyumbani nikawa naongea na mama stori za mtaani nikajikuta namwambia nilichokiona siku ile ila nikamwambia kuwa makini walijua kuwa nimeona usije kumwambia mtu hii habari!