Nizhneserginsky
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 268
- 568
"...Mi siri yangu ambayo sitakuja kuisema ni kamba nilimfumania mjomba mkubwa akiwa anatembea na mke wa mjomba mdogo alafu wakajua kwamba nimejua sikuwahi kuisema ilikanusha, yapata miaka 20 sasa."
Tayari umesema siri yako ulioitunza muda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari umesema siri yako ulioitunza muda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app