Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Hatari,

Baba mwenye nyumba yangu alifunaniwa ikabidi mchepuko auingize geto kwangu alafu akazuga ni demu wangu, wala sikumwambia mama huyo nilikaa kimya ,alafu demu lilikuwa powa sana yan hatari mno, nilitamani niligeukie ilikuwa saa mbili usiku mama mwenye nyumba yuko safari sasa aakarudi ghafla palichimbika balaa
Uzinzi
 
Binadamu katika mazingira mbali mbali, ukumbana na majanga mbali mbali ambayo mengine ni hatari kabisa
Kuna waliowahi kushuhudia mtu kiauawa na kukaa kimya
Kuna waliowahi kuona mtu anamloga mwingine wakatunza siri
Kuna waliowahi kuona mwenzao anaibiwa wakakaa kimya
Kuna waliowahi kushuhudia mtu anabakwa wakakaa kimya
Kuna waliowahi shuhudia mtu au mke wa mtu anatembea na mwanaume mwingine wakakaa kimya,

Mi siri yangu ambayo sitakuja kuisema ni kamba nilimfumania mjomba mkubwa akiwa anatembea na mke wa mjomba mdogo alafu wakajua kwamba nimejua sikuwahi kuisema ilikanusha, yapata miaka 20 sasa.

Leo kuna rafiki yangu amenambia kwamba akiwa mdogo alimuua mtu akiwa Croatia mwaka 1994, na hakuna aliyejua

Mwingine (dr) akasema kuwa amewahi kumuinject mgonjwa UKIMWI kupitia syringe, na akakaa kimya maana alilipwa Hela ya kutosha

Najua na wee una siri umetunza tudokeze
Luka nimekujua ulizani sipo jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mshkaji wangu alipigika kishenzi akawa weechat ,kumbe kuna mzungu anatafta wanaume wa kuwabandua ilikuwa mwaka 2014/5 kitu kama hicho, sasa jamaa alikuwa kapigika hana hela, katika kuchati weechat akamuona mzungu men, akamwambia nataka nyuma nakupa dollar 200 jamaa hakuchelewa, sasa siku moja nikamuomba simu yake yangu iliisha chaji, katika kupekuwa nikakuta meseji ya makubaliano ya kubanduliwa, nilishangaa sana nikaziangalia tena na tena, baadae kumrudishia simu yake na wala sijawahi kumwambia mtu yeyote yule, hata yeye sikumwambia kama nimejuaa ila nilimshusha value tokea siku hiyo nikahama na chumba nkazuga shangazi kaniita.
Maisha haya usipokuwa na imaan thabeet unaweza mkufuru mungu wako saana
 
mimi siri zangu ni.nzito.zimaweza.haribu maisha.yamgu.hata ya familia yangu acha nikae.kimyaa tu.
 
Mimi kuna bosi mmoja nataka nimlipue kwa wakubwa zake ,mnoko sana anatubania sana hali ni mpigaji hatari mbinafsi, ana roho mbaya,mwizi japo anajifanya mlokole.
Haha
 
Kweli siri zangu ni nyingi ila huwa najisemeaga moyoni na MUNGU tu zingine nasema naye na Shetani tu. Ila nawaza kwa mapana siku ya hukumu itakuwaje?

Zingine ni zile ninazoweza kuwaambiaga wasio wahusu tu kweli siri kifo ila sometime inabidi tufe nazo maana tukisema tu du ni aibu ya milele na zingine ni kuharibu maisha milele. Wacheni moyo jamani unabeba makubwa. Ila siri zote MUNGU anazijua zingine shetani ndio mshauri Mkuu tu hata MUNGU hataki kusikia maana ni siri chafu sana
Duuh inaonekana nzto sana ushaua mzee
 
Siku moja nilimkuta mjomba anabaka .

Siku ya tukio ilikua hivi; niliamka asubuhi na mapema nikapanda (Baskeli ) yangu[emoji605] bike aina ya Dragon, nilio kua nimenunua jeshini Kambi ya KABOYA.

Safari yangu ilikua inakomea kitingoji jirani na nyumbani ,nikiwa majukumu la kusogeza mbao barabara Ili nizipakie kwenye gari ya chai ziende kemondo. Gari hiyo ilikua ikitika Katoke estate na chai kuerekea maruku.

Wakati naendelea nazoezi la kusomba mbao kwa msaada wa Baskeli nikaona mtoto mdogo ananifuata akiwa katika khali ya hudhuni, na kuniambia mama anakuita.

Nilianza kutafakali kidogo maana ilikua majira ya saa 6:30 asubuhi, mida ambayo watu wengi hawajaamka.
Yule mtoto nilimruhusu aende amwambie mama yake " nakuja"

Ghafra bini Vu mtoto akarudi, safari hii hakutaka kunisikiza , Bali alitaka twende kwa Mama yake walau tuweze kimuokoa.

Ile nimeongozana namtoto ndio nabisha hodi sebuleni (kwawale mnao jua nyumba zavijijini) sebule Iko katikati.
Basi bwana Ile TU napiga hodi nikasikia suti nzito inaniita kwa jina langu la utoto nakuniambia, ija olebe uko bashwera.

Ujuwe nilishiwa pozi.
Wakati Bado natafakari yule mhanga wa kubakwa, akaniita nakuniambia naomba ufanye jambo ninusulike, hapa nabakwa .

Nilitoka mbio nasikusema sehemu yeyote,japo aliebakwa alikuja kusema kwa Mama baada ya miaka kama 8 hivi.
Nakusema kwenye we yalikua nimalalamiko.zid ya mjoma namimi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Senegal wamenipa wakati mgumu sana... .. bahati nzuri nikakutana na huu uzi na ndo naumaliza.
 
Hapa mtaani kuna binti kuna binti amepata mimba ya mtu mwingine kajaribu kuitoa ikashindikana sasa kuna houseboy kahamia hapa kitaa hana muda ndio kukutana na binti wakaanzisha mahusiano hapo hapo binti akamwambia nimeshika mimba jamaa amekubali akijua mimba ni yake sahivi wanaishi wote wamepangisha, ila mtaani tunajua jamaa kaliwa
Dah ..wanawake hawa
 
Dahh hakika kuna watu usiwaambie siri kuna jamaa mmoja anaitwa uncle mecky huyu bwana huwa anajulikana kwa Umbea viunga vya dar kuna siku alimkuta jamaa mmoja anatembea na mke wa Jirani yake, jamaa alivoona vile akamvuta uncle mecky pembeni na kumpa million 1 ili atunze siri, basi uncle mecky akamhakikishia jamaa hatasema. Baada ya week jamaa akasikia uncle mecky anaumwa sana kalazwa hospital akaona akamuangalie basi vile anafika hospital anauliza kwa Dr mgonjwa anaumwa nini akajibiwa ana joto tu Kali lkn kapimwa hana maradhi yyt. Mecky akamuita jamaa ebwana eeeh chukua hii million yako utakuja kuniua maaana nimevumilia huu Umbea nimeshindwa mpk joto limepanda mwilini
Anakamoyoo kadogoo
 
Hahaha interesting sana, anyway hizi zangu niliamua tu kufanya siri ila kwa sasa hata nikizisema hapa sio mbaya.

1- wakati nasoma Advance shule flani hivi (private school) maarufu sana iko kule kwenye uwanja wa ndege wa sasa wa mbeya, basi siku moja nimetoka zangu kwenye sports 'cas ilikua siku ya michezo huku domitories hakuna watu, kuingia bafuni (yalikua mengi mabafu) nikasikia bafu la mwishoni kama kuna mtu, nikaenda kuchungulia, nafika daaaaaah nakuta kuja jamaa flani anaheshimika sana na hua huko serious sana na mtu wa madem sana, anamgonga jamaa dogo mmoja hivi alikua hb sharosharo madem huwa wanampenda kinyama, wako busy wanendelea, me nikarudi nyuma taratibu nikarudi zangu viwanja vya michezo sikuoga tena, jamaa nilikua nikiwaona wanavojikuta vidume na ubabe ubabe na majigambo naishia kusema tu hiiiiiiiiiiiiii,

2-
Dah au basi wacha niache tu.manake siwezi kujisariti mwenyewe kwa kutoa siri yangu hata hapa, ila niseme tu.kila mtu anasiri yake ambayo kamwe hawezi kuisema hata iwe nini, ili hili zakushuhudia , watu ni rahisi kuzisema.
 
Hahaha interesting sana, anyway hizi zangu niliamua tu kufanya siri ila kwa sasa hata nikizisema hapa sio mbaya.

1- wakati nasoma Advance shule flani hivi (private school) maarufu sana iko kule kwenye uwanja wa ndege wa sasa wa mbeya, basi siku moja nimetoka zangu kwenye sports 'cas ilikua siku ya michezo huku domitories hakuna watu, kuingia bafuni (yalikua mengi mabafu) nikasikia bafu la mwishoni kama kuna mtu, nikaenda kuchungulia, nafika daaaaaah nakuta kuja jamaa flani anaheshimika sana na hua huko serious sana na mtu wa madem sana, anamgonga jamaa dogo mmoja hivi alikua hb sharosharo madem huwa wanampenda kinyama, wako busy wanendelea, me nikarudi nyuma taratibu nikarudi zangu viwanja vya michezo sikuoga tena, jamaa nilikua nikiwaona wanavojikuta vidume na ubabe ubabe na majigambo naishia kusema tu hiiiiiiiiiiiiii,

2-
Dah au basi wacha niache tu.manake siwezi kujisariti mwenyewe kwa kutoa siri yangu hata hapa, ila niseme tu.kila mtu anasiri yake ambayo kamwe hawezi kuisema hata iwe nini, ili hili zakushuhudia , watu ni rahisi kuzisema.
Isijekuwa na ww uliamua kushiriki ule mchezo wa bafuni ndo maana bado unaifanya siri.

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom