Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Zitoe tu kwanini ufe na kihoro bureSiri nyingine tutakufa nazo, haki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitoe tu kwanini ufe na kihoro bureSiri nyingine tutakufa nazo, haki
HahaSiri nyingine tutakufa nazo, haki
Kweli wa viti maalumu Au ?Nilishawai kumla mbunge flan iv acha tuuu
Mbaya zaid ni mke wa mtu maisha haya
UzinziHatari,
Baba mwenye nyumba yangu alifunaniwa ikabidi mchepuko auingize geto kwangu alafu akazuga ni demu wangu, wala sikumwambia mama huyo nilikaa kimya ,alafu demu lilikuwa powa sana yan hatari mno, nilitamani niligeukie ilikuwa saa mbili usiku mama mwenye nyumba yuko safari sasa aakarudi ghafla palichimbika balaa
Luka nimekujua ulizani sipo jfBinadamu katika mazingira mbali mbali, ukumbana na majanga mbali mbali ambayo mengine ni hatari kabisa
Kuna waliowahi kushuhudia mtu kiauawa na kukaa kimya
Kuna waliowahi kuona mtu anamloga mwingine wakatunza siri
Kuna waliowahi kuona mwenzao anaibiwa wakakaa kimya
Kuna waliowahi kushuhudia mtu anabakwa wakakaa kimya
Kuna waliowahi shuhudia mtu au mke wa mtu anatembea na mwanaume mwingine wakakaa kimya,
Mi siri yangu ambayo sitakuja kuisema ni kamba nilimfumania mjomba mkubwa akiwa anatembea na mke wa mjomba mdogo alafu wakajua kwamba nimejua sikuwahi kuisema ilikanusha, yapata miaka 20 sasa.
Leo kuna rafiki yangu amenambia kwamba akiwa mdogo alimuua mtu akiwa Croatia mwaka 1994, na hakuna aliyejua
Mwingine (dr) akasema kuwa amewahi kumuinject mgonjwa UKIMWI kupitia syringe, na akakaa kimya maana alilipwa Hela ya kutosha
Najua na wee una siri umetunza tudokeze
Maisha haya usipokuwa na imaan thabeet unaweza mkufuru mungu wako saanaKuna mshkaji wangu alipigika kishenzi akawa weechat ,kumbe kuna mzungu anatafta wanaume wa kuwabandua ilikuwa mwaka 2014/5 kitu kama hicho, sasa jamaa alikuwa kapigika hana hela, katika kuchati weechat akamuona mzungu men, akamwambia nataka nyuma nakupa dollar 200 jamaa hakuchelewa, sasa siku moja nikamuomba simu yake yangu iliisha chaji, katika kupekuwa nikakuta meseji ya makubaliano ya kubanduliwa, nilishangaa sana nikaziangalia tena na tena, baadae kumrudishia simu yake na wala sijawahi kumwambia mtu yeyote yule, hata yeye sikumwambia kama nimejuaa ila nilimshusha value tokea siku hiyo nikahama na chumba nkazuga shangazi kaniita.
HahaMimi kuna bosi mmoja nataka nimlipue kwa wakubwa zake ,mnoko sana anatubania sana hali ni mpigaji hatari mbinafsi, ana roho mbaya,mwizi japo anajifanya mlokole.
Duuh inaonekana nzto sana ushaua mzeeKweli siri zangu ni nyingi ila huwa najisemeaga moyoni na MUNGU tu zingine nasema naye na Shetani tu. Ila nawaza kwa mapana siku ya hukumu itakuwaje?
Zingine ni zile ninazoweza kuwaambiaga wasio wahusu tu kweli siri kifo ila sometime inabidi tufe nazo maana tukisema tu du ni aibu ya milele na zingine ni kuharibu maisha milele. Wacheni moyo jamani unabeba makubwa. Ila siri zote MUNGU anazijua zingine shetani ndio mshauri Mkuu tu hata MUNGU hataki kusikia maana ni siri chafu sana
Dah ..wanawake hawaHapa mtaani kuna binti kuna binti amepata mimba ya mtu mwingine kajaribu kuitoa ikashindikana sasa kuna houseboy kahamia hapa kitaa hana muda ndio kukutana na binti wakaanzisha mahusiano hapo hapo binti akamwambia nimeshika mimba jamaa amekubali akijua mimba ni yake sahivi wanaishi wote wamepangisha, ila mtaani tunajua jamaa kaliwa
Ndio maana Kuna mauaji mengi😁😁😁😁😁Three can keep a secret, if two of them are dead
Anakamoyoo kadogooDahh hakika kuna watu usiwaambie siri kuna jamaa mmoja anaitwa uncle mecky huyu bwana huwa anajulikana kwa Umbea viunga vya dar kuna siku alimkuta jamaa mmoja anatembea na mke wa Jirani yake, jamaa alivoona vile akamvuta uncle mecky pembeni na kumpa million 1 ili atunze siri, basi uncle mecky akamhakikishia jamaa hatasema. Baada ya week jamaa akasikia uncle mecky anaumwa sana kalazwa hospital akaona akamuangalie basi vile anafika hospital anauliza kwa Dr mgonjwa anaumwa nini akajibiwa ana joto tu Kali lkn kapimwa hana maradhi yyt. Mecky akamuita jamaa ebwana eeeh chukua hii million yako utakuja kuniua maaana nimevumilia huu Umbea nimeshindwa mpk joto limepanda mwilini
Hakuna wakati ambao siri imewahi kuwa watu wawiliSiku hizi siri ni ya mtu mmoja tu,ukimshirikisha wa pili sio siri tena.
Hawa wauaji watalipia tu uovu huu....Mwingine (dr) akasema kuwa amewahi kumuinject mgonjwa UKIMWI kupitia syringe, na akakaa kimya maana alilipwa Hela ya kutosha
Leo kuna rafiki yangu amenambia kwamba akiwa mdogo alimuua mtu akiwa Croatia mwaka 1994, na hakuna aliyejua
Isijekuwa na ww uliamua kushiriki ule mchezo wa bafuni ndo maana bado unaifanya siri.Hahaha interesting sana, anyway hizi zangu niliamua tu kufanya siri ila kwa sasa hata nikizisema hapa sio mbaya.
1- wakati nasoma Advance shule flani hivi (private school) maarufu sana iko kule kwenye uwanja wa ndege wa sasa wa mbeya, basi siku moja nimetoka zangu kwenye sports 'cas ilikua siku ya michezo huku domitories hakuna watu, kuingia bafuni (yalikua mengi mabafu) nikasikia bafu la mwishoni kama kuna mtu, nikaenda kuchungulia, nafika daaaaaah nakuta kuja jamaa flani anaheshimika sana na hua huko serious sana na mtu wa madem sana, anamgonga jamaa dogo mmoja hivi alikua hb sharosharo madem huwa wanampenda kinyama, wako busy wanendelea, me nikarudi nyuma taratibu nikarudi zangu viwanja vya michezo sikuoga tena, jamaa nilikua nikiwaona wanavojikuta vidume na ubabe ubabe na majigambo naishia kusema tu hiiiiiiiiiiiiii,
2-
Dah au basi wacha niache tu.manake siwezi kujisariti mwenyewe kwa kutoa siri yangu hata hapa, ila niseme tu.kila mtu anasiri yake ambayo kamwe hawezi kuisema hata iwe nini, ili hili zakushuhudia , watu ni rahisi kuzisema.