Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

kwenye jambo lolote huwa kuna majibu ya aina hii ...ndiyo/hapana.. kweli/sikweli

unachokiwaza kuhusu mimi majibu yake yapo hapo huenda ni kweli au si kweli since sijui ni kitu gani na ni bora kibaki kuwa siri pia
[emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya fasihi
 
Aiseee
 
duh!! hatari
 
Nina siri siwezi isema kwa mdomo wala kwa maandishi, ila nilishatumu kwa imani yangu, siri hii nilimsimulia rafiki yangu mkubwa ali anisaidie kifedha ku coverup issue, kwa kuwa nilikuwa namuamini sana nilivyo anza tu akanikatiza kwa kusema nahijaji pesa ngapi nikaclear mambo ila huyu jamaa ambae alikuwa anajua hii siri japo kwa kiduchu sana alicha tangulia mbele ya haki. Ni rafiki pekee ambae nilikuwa nikimwambia kitu kinaishia hapo hapo.
 
Kuna siri nyingine ninazo hadi nikianza kuziwaza naogopa mwenyewe.
Watu wamekua wakijiamini Sana wakikaa na Mimi kuongea mambo yao.
Nyingine nashindwa kuzibeba hadi nakua Kama mgonjwa ila ndo inakua siri tena nashindwa kuzitoa.

Kuna muda natamani ni mwambie MTU asiongee au kufanya kitu mbele yangu sababu ananipa mzigo wa kuanza kufikiria ila nakaa tu.

Wengine nawaulizaga hivi unajiamini nini kufanya/kuongea hiki mbele yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…