Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

Kumbe tuko wengi wahenga. Mungu mwema. Tabora yetu, mzaliwa
 
Mitaa ya pombe sn kule Ng'ambo ni kwa Gondwe, Nguno na Mapumziko! Yani huko pombe la kienyeji kwa kwenda mbele!

Teh Teh Teh Teh!
Hahaaa. Umenikunbusha kwa jina Gondwe, nimesoma na binti wa mzee Gondwe sasa ni bibi kama mimi.
 
Kwa wale LY Mihayo Primary 1984 mpo? Mtihani wa kumaliza elimu ya msingi katika wanafunzi 208 walitoboa wawili tu kwenda Kazima Sec waliobaki Chali wachache wenye uwezo kifedha wakaenda Uyui Sec
 
Kwa wale LY Mihayo Primary 1984 mpo? Mtihani wa kumaliza elimu ya msingi katika wanafunzi 208 walitoboa wawili tu kwenda Kazima Sec waliobaki Chali wachache wenye uwezo kifedha wakaenda Uyui Sec
Miaka hiyo elimu ilikuwa si mchezo tofauti na sasa wanaweza kutoboa darasa zima.haya wale wa wilaya ya uyui tujuane.
 
Makulwa jamii ya Mantonga, Ndati, Mfulu, Nkunii

We kiboko mpaka Nkuni unazijua [emoji23][emoji23]
Matunda damu [emoji23]nayapenda ila wadudu wanashambulia sana

Hebu niambie huu mti unaitwaje maana ukiweka matawi yake popote Nyoka hasogei ulipo
Ukiwa porini lala hapo nyoka hakugusi
 
Mpalaye kitambo sana. Dattans, Kisamvu Bus Service, Nzega Bus, Tanganyika Umoja Bus, Sabena, Mole Bus, Kolonzo
 
Yuko muhindi mmoja alikuwa na mabasi ya kwenda ulyankulu anaitwa karim. Alikuwa anayapiga rangi na brush ya nyumba!

Halafu seat zake ni mabenchi ya mbao!

Teh teh teh teh!

Yalikuwa ya blue yanapaki pale Balewa street!
Profesa mchizi flani mitaa karibu na Town School alikuaga na basi bovubovu linakwenda Sikonge siku moja natokazangu Sikonge kufika Isukamahela likabuma tukatembea kwa miguu mkapa Ng'ambo home
 
Yuko muhindi mmoja alikuwa na mabasi ya kwenda ulyankulu anaitwa karim. Alikuwa anayapiga rangi na brush ya nyumba!

Halafu seat zake ni mabenchi ya mbao!

Teh teh teh teh!

Yalikuwa ya blue yanapaki pale Balewa street!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yuko muhindi mmoja alikuwa na mabasi ya kwenda ulyankulu anaitwa karim. Alikuwa anayapiga rangi na brush ya nyumba!

Halafu seat zake ni mabenchi ya mbao!

Teh teh teh teh!

Yalikuwa ya blue yanapaki pale Balewa street!

Ndio mimi hapa
 
Mhenga mwenzangu. Isevya kwa kwa Ali Maguberi, kina marehemu Hamis Magurdumubna vitumbua vya moto, matapeli wa mwanzooo kina Juma Nkolokosho.

Enzi za Uhazili tulitesa sana, Railway Club. Timu ya basketball kina Kamsululu. Nimekumbuka mbali sana.
Mwanaisungu palee 😅😅 na Muungano mesi
 
Kwa wale LY Mihayo Primary 1984 mpo? Mtihani wa kumaliza elimu ya msingi katika wanafunzi 208 walitoboa wawili tu kwenda Kazima Sec waliobaki Chali wachache wenye uwezo kifedha wakaenda Uyui Sec
Hapo mihayo pana kanisa pembeni na uwanja wa basketball. Hilo kanisa lilitumika kama Hall la kusomea chuo cha SAUT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…