Kwa wale wanaopenda muziki kwenye gari, tukutane hapa

Wewe kama Mimi, redio iliyokuja na gari ndio hiyohiyo. Kuliko nipeleke kwa fundi ianze kukatwa nyaya bora nisikilize hiyohiyo, kwa brevis sio mbaya
 
Wewe kama Mimi, redio iliyokuja na gari ndio hiyohiyo. Kuliko nipeleke kwa fundi ianze kukatwa nyaya bora nisikilize hiyohiyo, kwa brevis sio mbaya

Wooh, wanasemaga wanaoendesha brevis wako flani hivii.... wanakuwaga wamedamshi muda wote....
 

Mkuu Osaba , Huyo mhindi wa Kisutu bado yupo? Nataka sound nzito yenye ubora wa hali ya juu. Bajeti isizidi 1 M.
 

Mkuu Osaba , Nataka mziki mzito wenye high quality. Sio makelele. Bajeti yangu ni 1M net. Gari ni Toyota IST.

Cc: Extrovert .
 
We dishi limeyumba mkuu...nenda mirembe wakakusaidie kabla haujaanza vituko vingine mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
hahahah nadhani kuna ukweli ndani yake. Huwezi kupenda kila kitu
 
Pioneer nao ni shida spika za zina tripple dinamic yaani zile sumaku za nyuma zimefungwa tatu kwa pamoja kishindo chake kama ukipata amp yenye nguvu ni balaa
Double coil hizo, ni matatizo kishindo yake ukipata watts 1000 na mids za Sound link hapo hata Xplod haifui dafu sema upate na amp ya maana sasa. Equalizer ya Boschman naona ndio iko makini zaidi.

Nina mpango niagize vyote Nairobi bado nakichanga.
 
Mkuu Osaba , Nataka mziki mzito wenye high quality. Sio makelele. Bajeti yangu ni 1M net. Gari ni Toyota IST.

Cc: Extrovert .
Tafuta Pioneer bass speaker OG, ukipata ya 1000w double coil hio kwisha kazi. Mids tafta za Soundlink, Booster/Amplifier ukipata JEC ya walau watts 600 inasongesha vyema bass.
Tweeters za Sony/Pioneer, Equalizer tafuta ya Boschman.

Hapo package ready to make your neighbours Mad🤣🤣🤣 na vyote kwa bongo vitafit ndani ya hio budget.
 

Thanks mkuu kwa ushauri wako murua. Waonekana unazijua vyema sana sound accessories.

Quality heavy sound to make neighbors mad... hahahaa hiyo sound ndo naipenda mkuu. 😀😀. Gari yenye mziki wa ukweli huwa burudani sana kuiendesha kwa sie wapenda muziki. You ride with full enjoyment.
 
Hahah yeah bro...hio ndio kitu mi napenda sana.
 
Kati ya mziki ambao unanua woofer ambayo ina inbuilt amplifier na anbao unakuwa ni passive woofer inayounganishwa na booster, ni upi mzuri?
Passive Subwoofer ni nzuri kuliko Active subwoofer.

Faida: Inakupa choice ya kuchagua best Amp inayoendana na Speaker yako interms of power.
 
Je kuna redio ya kufunga kwenye gari ambayo wakati wa kupiga miziki au kuonesha picha naweza kutoa toka y-tube?
Zipo Android auto audio systems kwa sasa. Mchina ameleta zake ziko na android kama ya simu tu. Humo mambo yote bluetooth na wireless ukiwasha hotspot tu inakamata kila kitu.
 
Mkuu Osaba , Nataka mziki mzito wenye high quality. Sio makelele. Bajeti yangu ni 1M net. Gari ni Toyota IST.

Cc: Extrovert .
Kama una head unit(radio) tafuta spika ya Sony watts 1800 ukikuta zilizo kwenye tube original ni nzuri zaidi, tafuta amp ya boschmann ya watts 1300 original pamoja na pre amp yake(equalizer) nayo ni iwe kampuni hiyo ya boschmann tafuta na set ya wiring, ukishapata hivyo tafuta fundi umpelekee akufungie huo mziki utakuwa umesave hela nyingi sana maana ukienda mwenyewe kichwa watakupiga hela
 
Yaani kny IST ndio afunge huo mziki?
huo mziki size yak ni SUV sio vi baby walker mkuu
 

Shukrani mkuu kwa mawazo yako. Nitafanyia kazi ushauri wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…