Kwa wale wanaotokea Tabora: Kwanini Tabora kuna vichaa na wehu wengi mjini na vijijini?

Sehemu yoyote aliyoka kaa Mwarabu kuna shida we si unaona zenji, uvivu, uchawi na kupitia njia ya chooni ni utamaduni kule
 
Newala tangu lini imekuwa mkoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna aina nyingi za ukichaa na kila aina ina kisababishi chake. Aidha umetokana na sababu za kibayolojia, kimazingira au Kisaikolojia (Biological, Environmental or psychological triggers).

Vya kibayolojia ni kama hivi vya mtu kuzaliwa na wazazi ndugu. Kimazingira au Kisaikolojia ni kama hivyo unavyozungumzia aidha msongo wa mawazo, imani za dini au uchawi n.k.

Nchi za Ulaya nilizotembelea kinachowasumbua zaidi ni Depression ambayo pia huweza kusababisha Mental illness.. Sababu kubwa ni mfumo wao wa maisha.

Ni kawaida kabisa hizi nchi Mzazi akifika uzeeni watoto wanampeleka kwenye makambi ya Wazee wanaachana naye wanaendelea na mambo yao. Pia hawana muda mwingi wa kukaa vijiweni kupiga soga kama ilivyo kwetu waafrika. N.k




Sent using Jamii Forums mobile app
 
wengi ni wa kutoka mika ya jirani huja kufanyia ukichaa wao kwetu kutafuta riziki za kirahisi. Sehemu kubwa ya wale unaowaona pale mjini ni wa kutoka Dodoma, Singida na Kigoma
 
Miaka ya tisini kulikuwa na vichaa maarufu walijulikana mji mzima.Alikuwepo Malingumu,Madebe bila kumsahau Mwajuma ringa.Hili la vichaa ni kweli mkuu tangu enzi hizo japo sababu sijui.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Eti Ishiiii.Umewapatia sana.Hapi bado hajapiga mdomo " mmba"
 
wengi ni wa kutoka mika ya jirani huja kufanyia ukichaa wao kwetu kutafuta riziki za kirahisi. Sehemu kubwa ya wale unaowaona pale mjini ni wa kutoka Dodoma, Singida na Kigoma
Kwa hiyo tabara ndio kuna vivutio vya vichaa, mkuu acha masihara bana
 
1.Wepesi kulipa visasi(hurogana) wanaoroga Tabora si wanyamwezi pekee
2.Treni inasimama muda mrefu vichaa kutoka Kigoma hushuka hapa.
3.Bangi madawa ya kulevya njenje
{Isevya Chemchem Ng'ambo)
Kwa bangi nakubali, nina binamu yangu alkua anasoma Tabora.. Si karudi likizo hii home ni mtumiaji wa dagsativa/mjani hadi anaisifia hadharani mbele ya wazazi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…