Wazee wenye majumba wasumbufu kivipi wakati wanadai kodi zao kwa wapangaji waliozeeka na biashara zao. Akili kumkichwa.Kila mtu afanye anachoweza, fainali uzeeni. Kuna wazee kibao wana majumba huku kitaa....hawana pesa tena, hawana uwezo hata wa kukarabati magofu yao, wanasumbua wapangaji kinoma. biashara ya kuzeeka nayo unayo?
Sijui kama ni wasukuma, wana uraia wa nchi gani?Gsm na mo dewji ni wasukuma?
Kodi haiajaisha mtu anakwambia nikopeshe tutakatana kwenye kodi. Kama si usumbufu ni nini?Wazee wenye majumba wasumbufu kivipi wakati wanadai kodi zao kwa wapangaji waliozeeka na biashara zao. Akili kumkichwa.
Kuna matajiri halafu Kuna wenye PESA. Kuwa ktk orodha ya matajiri ni kipengele.Watu kumi matajiri Tanzania hakuna mweusi hata Mmoja,
Bora tu wajenge maana watu weusi kuna namna fulani tunakosa skills za biashara,consistency,commitment nk..Hao wahindi na waarabu wanaanza fundisha watoto wao biashara wakiwa na miaka 5 hivi... Sasa sisi ushasoma zako mpaka chuo kikuu ndio uje uanze biashara itakuwa ngumuHuwa NAJIULIZA mbona wahindi na waarabu wamepanga alafu ndo matajiri, nilicho kuja kigundua pesa nyingi tunapoteza kwenye ujenzi ilihali pesa hiyo ukifanyia biashara ya uhakika ikakulipa unatoboa fasta alafu utajenga badae, ila usijenge ukiwa masikini
FactBora tu wajenge maana watu weusi kuna namna fulani tunakosa skills za biashara,consistency,commitment nk..Hao wahindi na waarabu wanaanza fundisha watoto wao biashara wakiwa na miaka 5 hivi... Sasa sisi ushasoma zako mpaka chuo kikuu ndio uje uanze biashara itakuwa ngumu