Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Elezea kwa utaalamu wa body languageNi msisitizo fake aliokua anaufanya, Politicians are good actors! Anaweza hata kulia kumbe ni muongo. Angalia bunge la CCM la week hii inayoisha, utadhani wako serious kumbe wote wezi tu wameingia Kwa kura za wizi
Uko sahihi kijanaRaisi bora kabisa kuwahi kuliongoza taifa, ya Nyerere siyajui ila kwa waliobaki anakuwa raisi bora kabisa.
πππPoliticians are good actors