Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Nimepita mitaa fulani huko nimesikia kuna watu wanasema hayati JPM ukali wote ule ila alikuwa hamaanishi alivyokuwa akizungumza .
Binafsi nimepitia video chache nikaona hayo madai hayana ukweli wowote na alikuwa na nia nzuri na hili Taifa .
Kuna wale wataalamu wa body language mnasemaje ? Unaweza tumia hata mifano ya videos ambazo hazijawekwa hapa .