Kwa wale wataalamu wa Body language Unawezaje kusema Hayati Magufuli hakuwa anamaanisha haya aliyo kuwa anazungumza ?

Kwa wale wataalamu wa Body language Unawezaje kusema Hayati Magufuli hakuwa anamaanisha haya aliyo kuwa anazungumza ?

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Nimepita mitaa fulani huko nimesikia kuna watu wanasema hayati JPM ukali wote ule ila alikuwa hamaanishi alivyokuwa akizungumza .

Binafsi nimepitia video chache nikaona hayo madai hayana ukweli wowote na alikuwa na nia nzuri na hili Taifa .

Kuna wale wataalamu wa body language mnasemaje ? Unaweza tumia hata mifano ya videos ambazo hazijawekwa hapa .​

Attachments

  • 5425904-90ac2659645c44567a85208459f28a5f.mp4
    1.1 MB
  • 5393237-0c568636e30a8e07a0210d05dc046440.mp4
    6.6 MB
Ni msisitizo fake aliokua anaufanya, Politicians are good actors! Anaweza hata kulia kumbe ni muongo. Angalia bunge la CCM la week hii inayoisha, utadhani wako serious kumbe wote wezi tu wameingia Kwa kura za wizi
 
Elezea kwa utaalamu wa body language
 
hio clip ya mwisho "tena siyo shamba la bibi, ni bibi wa bibi wa bibi." = samaya sururu
nimeelezea kibody language.
 
unaileta kivingine.. kujali tu unamkumbuka 🤣🤣🤣
 
Raisi bora kabisa kuwahi kuliongoza taifa, ya Nyerere siyajui ila kwa waliobaki anakuwa raisi bora kabisa.
 
Back
Top Bottom