Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,017
Mapovu ya nini yakhe?Toa vielelezo kama unaijua Suratil Baqra hakuna ulazima wa kuchangia mada kwa kukejel dini Mungu akusamehe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapovu ya nini yakhe?Toa vielelezo kama unaijua Suratil Baqra hakuna ulazima wa kuchangia mada kwa kukejel dini Mungu akusamehe.
Mapovu ya nini yakhe?
You are talking to a wrong person young man. Keep your demons and diabolical spirits with you.We umeona mapovu hapo mwanume hawi na mafumbo hyo ni mipasho.
Pata elimu ya bure hapa:
WAISLAM WAMERUHUSIWA KULA MIZOGA NA DAMU NA NYAMA YA NGURUWE
====================================================
Surah Al Baqara 173.Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi kula Mzoga na damu na nyama ya Nguruwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
Acha ujinga weye. Kula ni kula tu. Kwani wakati wa dharurah hiyo Nyama Ya Nguruwe inaingia wapi kama sio kwenye Tumbo lako wewe Quafir?We jamaa punga kweli, kichwa zeroooo.... Umeambiwa ukifikwa na DHARURA, mbona mwanzo wa aya hujaweka bold? Mpu.mba.vu sana mtoto wa kijakazi wewe, naamini unachukia kuitwa Ishmael, unatamani ungeitwa Is-haq.... Yaani ubongo wako ovyooo....
Huyo kiumbe anajiita Ishmael nimemkalia kimya maana an a comment akiwa amekata center.
"Rakims"
hahhaha group whatsapp nafasi zipo acha hawa wapige tantalila hapa za kilokole hawajui wasemayo
Kuna ukweli juu ya hiliii ? Au wanakuzushia tu
alieanzisha uzi anaona ni kweli... lakini yeye hata whatsapp hakukanyaga na wanaomfata wanaona ni kweli lakini wanaojua ukweli ni waliokuwepo group ya kwanza watu 30 kina lameck,brown,latifa na wengineo!! na group la pili: kina anna,mshinyanga,barah na wengineo.... hii group ya tatu bado sijafunza kitu ndio tupo introduction watu wanafumka na kusema tapeli? hii ni elimu inahitaji muda Huwezi Kufundishwa O Level Hadi A level Kwa Mwezi Mmoja... Pole Kwao Waliotoka.... kwa kusadiki ya uongo... kama unawafahamu hao jamaa juu uliza wakufahamishe...
"Rakims"
kazi kweli kweli...
Sio kazi kweli kweli, jamaa amekupa ushauri mzuri tu kuwa kama kwny ule uzi kule yale tuliyoyasema ni uongo basi njoo na upinge moja bda ya jingine, mwizi tu wewe bwana huna lolote unajaribu kujikosha tu ila kimsingi huna lolote nae wale wale tu.
we sema tuu ukichoka utakaa kimya....
"Rakims"