macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kuna watu ambao hali iliwaruusu kutochanja. Lakini kuna wengine wanashukuru sana kwa sababu chanjo iliwakoa pakubwa. Unajua kama umetoka kwenye familia ambayo ilipoteza mtu au watu kwa korona ndiyo unajua kuwa haikuwa mzaha na ungekimbilia kuchanja haraka sana.Kwahiyo hukupata side effect yoyote baada ya kuchanja Hadi hivi Leo?
Babu yangu kijijini pia alinisimulia kuwa alichanja, niliogopa sana na kumwuliza kwanini alichukua uamuzi huo,
Akajibu kuwa aliogopa kufa,
Nashukuru Mungu yupo hai Hadi sasa.
Hizo Nchi zitafikisika, na ndio chanzo Cha mtikisiko wa kiuchumi duniani.
Tunamshukuru Mungu Kwa zawadi ya Magufuli kukataa kutupiga lockdown,
HAKIKA njaa ingeua watu wengi kuliko HOFU ya korona.
Umaskini ndio unakufanya kuwaza kila kitu katika angle ya mawazo ya kulinganisha vitu na ugali tu.Kwa ujasiri ambao Magu alikuwa amewajaza Watanzania,
Wangetuuzia Chanjo sidhani kama mtu angenunua,
Yaani pesa ya kununua gunia tatu za mahindi niitumie kuchoma Chanjo!!
Thubutuuu!!
Nashukuru Mungu hakuna chochote. Nilikuwa nje ya nchi ambayo asilimia 80 ya population walichanja na mpaka sasa raia wote wanaishi maisha ya kawaida.Hukupata mabadiliko yoyote ya MWILI au side effect zozote tangu kuchanja Hadi sasa?
Chanjo nyingi tu Tanzania inapewa kama msaada, hata condom pia.Kwa ujasiri ambao Magu alikuwa amewajaza Watanzania,
Wangetuuzia Chanjo sidhani kama mtu angenunua,
Yaani pesa ya kununua gunia tatu za mahindi niitumie kuchoma Chanjo!!
Thubutuuu!!
Nchi yetu ambayo imeshindwa kuhakikisha watoto wa shule za msingi wanapata kikombe kimoja Cha uji wakiwa shuleni,Nchi kama Sweden, sovereign wealth fund yake ambayo ni kama mfuko wa pension ina utajiri wa dola za Marekani Trillion 1, wananchi wake wanaweza kuishi miaka kadhaa bila kufanya kazi wakawa wanalishwa nayo tu,
Kumbe wewe hukuchanja Chanjo ya Bure JJ kama huku kwetu?Nashukuru Mungu hakuna chochote. Nilikuwa nje ya nchi ambayo asilimia 80 ya population walichanja na mpaka sasa raia wote wanaishi maisha ya kawaida.
Ilikuwa ni bure kabisa. Ile moderna. Sikulipa hata senti tano kwani wakazi wote walikuwa wanapata bure.Kumbe wewe hukuchanja Chanjo ya Bure JJ kama huku kwetu?
Utajiri wako unakusaidia nini ikiwa unazungukwa na maskini pande zote na Nchi Yako inatembeza bakuli kuombeleza misaaada Kwa majirani?Umaskini ndio unakufanya kuwaza kila kitu katika angle ya mawazo ya kulinganisha vitu na ugali tu.
Ila inaweza kununua V8 za kumwaga kila konaNchi yetu ambayo imeshindwa kuhakikisha watoto wa shule za msingi wanapata kikombe kimoja Cha uji wakiwa shuleni,
Kamwe hawawezi kulipa watu wasiozalisha chochote wakiwa lockdown!!
Wewe ni WA kwanza kudai ulipata side effect ya kuumwa KICHWA baada ya kuchanja!!🙏niliumwa kichwa wiki mbili
Huja mwelewa rudia kusomaChanjo ya CORONA Haina miaka 15,
Labda tuseme una AFYA njema inayochaguzwa na blood group na Ulinzi wa Mungu.
Hujaona tofauti yoyote mwilini ukilinganisha time uliyochanja na kabla ya kuchanja?
Ndo hapo Mimi nilistuka na kugoma kuchanja,Ila inaweza kununua V8 za kumwaga kila kona
Endelea kusoma, ameshanjelewesha nikaelewa🙏Huja mwelewa rudia kusoma
Hapo kwenye spidi hata mimi naunga mkono hoja...Nilichanja nimezaa mtoto and afya njema kabisa. Kifua mafua havipo.
Ila tumetokea kupenda sex sana labda hilo ndio badiliko. Mume wangu ana spid kali kunako.
Jiwe alidanganya watu bula sabab
Sidhani kama UK watakuja kufilisika mkuuHizo Nchi zitafikisika, na ndio chanzo Cha mtikisiko wa kiuchumi duniani.
Tunamshukuru Mungu Kwa zawadi ya Magufuli kukataa kutupiga lockdown,
HAKIKA njaa ingeua watu wengi kuliko HOFU ya korona.
Makubwa haya,Nilichanja nimezaa mtoto and afya njema kabisa. Kifua mafua havipo.
Ila tumetokea kupenda sex sana labda hilo ndio badiliko. Mume wangu ana spid kali kunako.
Jiwe alidanganya watu bula sabab
Yah bangi yangu inaitwa Yesu. Kwani Kuna shida?Nonsense unakula bange nini
Hiyo spidi haitokani na kuchanja,Nilichanja nimezaa mtoto and afya njema kabisa. Kifua mafua havipo.
Ila tumetokea kupenda sex sana labda hilo ndio badiliko. Mume wangu ana spid kali kunako.
Jiwe alidanganya watu bula sabab