Kwa waliosoma Alpha, Sunday Mwakipagala na Henry Mwinjoge hawa jamaa walisumbua sana

Kwenda Ulaya sio achievement,unatakiwa utumie elimu yako kutatua changamoto za jamii iliyokuzunguka.
Sasa ingekuwa wazungu nao wanakimbia nchi zao unadhani wangefikia hayo maendeleo unayoyaona?
 
Hiyo ni game ya maisha kila mtu atashinda kivyake ...Maisha yanaendelea mpaka kufa.
 
Upumbafu wake uko wapy mkuu?
Ulipoanza kuniita mimi mpumbavu uliona kuna sehemu nimeweka hoja ya kutusi Au?? Sasa. Wewe ukapata wapi ruhusa ya kuniita hivyo??.........anyway mimi nimeanza na shina lililokureta hapa duniani........na ukiendelea yatatoka mengine makubwa kabisa baada ya kushindwa hoja ukareta lugha korofi..... kumbuka hili ni jukwaa la hoja na sio matusi.........account yangu ina miaka 14 tafadhali sitaki mazoea ya kitoto
 
Mtaani kwetu diaspora ni wengi sana ,uliza huku Tanga vijana wengi wako nje ,wala sio ishu tena wale waliofeli wanakimbilia huko.

Sasa sijajua kama kwenda ulaya ndio mafanikio makubwa , ukizingatia hakuna career development yoyote ila kweny field yako zaidi ya kuajiriwa.

Kumbuka jamaa wa Nala alikataa pesa ndefu ,je nyie ..Tunataka mafaniko makubwa ,moja ya jamaa alikuwa anafanya vizuri pale Tanga tech kwa sasa ana maabara kubwa ,amebobea kweny mambo ya mionzi ...Huyu ndiyo alikuwa role model wangu .
 
Kujieleza sana ni ishara ya udhaifu "ndugu" haina haja ya kupanick "be calm"
 
Sasa si utaje, umesema nikutajie TOs kumi unitajie wengine kumi ambao wanaishi maisha ya hovyo
 
Wewe unaye huyo, yategemea mazingira uliyokulia. Sasa kama umezungukwa na wahamiaji si kila mtu yuko hvo. Walionizunguka mimi, ambao wote wako ulaya na hata waliorudi hapa na wanapambana hapa. Hamna mjinga wala maskini. Kwa mafanikio makubwa huyu tu dogo yuko mbali kuliko huyo aliyefungua pharmacy na dispensary huko kwenu tanga. Tuna watu wana maofisi makubwa, logistic deals mpaka maclub makubwa hapa dsm mm nawajua. Tena ukisema career dvp ndio usiseme tuna vijana magwiji, kuanzia mahospitalini mpaka bandarini na hata maairport. Sasa wewe kaa hapo. Endelea na role model wako kafungua pharmacy na dispensary kwamba walioenda ulaya hamna kitu. Sibishani na wewe. Kaa hapo hapo
 
Mwenzako kaja kuulizia hawa vichwa wako wapi apate kujua na motivation ww unakuja oonh ulaya sijui fyoko. Tanga maskini. EndeleaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na Watu wako wa tanga sijui wametoka wote.
 
Nadhani watanzania wengi mmejaa wivu sana. Na hii ni dhahiri ulichoandika . Sunday ni kijana wa kitanzania na kasoma. Ukiweza fungua uzi wako uandike wakwako na ukiweza andika hapa wakwako , hawa walisoma alpha si kwamba ni shule nzuri ila wazazi wao waliweza kuwalipia ada hapo. Mimi nilisoma fedha hao vijana ni wadogo zangu. Ila nafahamu wengine wa msolwa maana nilisoma pia, wapo marian wapo ilboru wapo kibaha boys. Wapo wengi. Usitake kushindanisha kama wakwako walikua wakipiga 100 mitihani yaoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wataje na useme wako wapi.
Haya shindana. Sunday ana ACCA, Wako wana nini au na wewe wako ndio kina diamond platinumz. Of which it wasn't the subject here.
Tusome jamani. Na tuwaeleze wadogo zetu na watoto wetu wasome. Msiamini sana katika bahati au personal effort. Kusoma kwanza. Soma utoe ujinga
 
Wapo wapi now

Cream hizi na nyinginezo inatakiwa zisaidie Taifa
Hizi cream mara nyingi zinachukuliwaga na mashirika na taasisi za nje. Wanawadaka fasta wakitoka tu chuo, au huwa wanapewa scholarship halafu wanaishia kufanyia kazi elimu yao uko uko nje. Hizi cream zinatakiwa kumzunguka Rais sema ndo hivyo tena serikali yetu haipo makini.
 
Kwenda Ulaya sio achievement,unatakiwa utumie elimu yako kutatua changamoto za jamii iliyokuzunguka.
Sasa ingekuwa wazungu nao wanakimbia nchi zao unadhani wangefikia hayo maendeleo unayoyaona?
Kwani ni mashindano kk. Mtu kasoma, anafanya kampuni ya audit yenye makazi canada, na kupitia yy ina branch hapa amekosea wap?
 
Kijana gani gwiji au huelewi careee development , huyu mwenye pharmacy sio la kitoto lipo Dsm ni kijana kutoka Handeni alimaliza pale Tanga school , alienda nje akarudi bongo , ule usomi wake na alichosoma niliakisi uhalisia ...Yuko mbali hata akitaka Phd ni kugusa , huku nje alipa sehemu ya kulipwa pesa ndefu ila katemana nayo .

Wafanyabiashara bongo wanajuliko ni hawa weupe , kampuni za logistics kawaida sana ..Tunatakuwa kuona engineer akijenga akitoa usanifu wa miradi yetu mikubwa sio kuishi ughaibuni hakuna maajabu .
 
Mwenzako kaja kuulizia hawa vichwa wako wapi apate kujua na motivation ww unakuja oonh ulaya sijui fyoko. Tanga maskini. EndeleaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na Watu wako wa tanga sijui wametoka wote.
Maan hata kwenu ushindwa kupataja umekimbilia ughaibuni kama mkimbizi πŸ˜€ πŸ˜€ rudi kijini kwenu ukachunge huko sio kwenu ...Joel Nanauka athari zake zinaonekana sio nyie waajiriwa wasukuma box..Mwishoe zinaletwa tu maiti kazi kukariri kizungu .

Yule Fernandes alirudi nyie choka mbaya mmpeta upenyo wa kukimbia vijijini kwenu.
 
Mwenzako kaja kuulizia hawa vichwa wako wapi apate kujua na motivation ww unakuja oonh ulaya sijui fyoko. Tanga maskini. EndeleaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na Watu wako wa tanga sijui wametoka wote.
Tanga dIiaspora ni wengi labda utaje kwenu nikuoneshe , huku na zenji ni wengi sana since day one nyie mmefanya kuja mjini juzi , hamtaki kurdi makwenu maana mtakumbana na zamu ya kuchunga.
 
Pale CCECC Kampuni ya mchina mwenye jengo ni qs pale posta, na waajiriwa 98% ni wabongo, na ofisi nyingi tu zina wabongo, nadhani huyo wako yapaswa atengeneza dawa zake sio anunue, unaweza taja pharmacy ya huyo bwana jina lake, mm naifahamu Dsm, embu nitajie.
 
Ana maabara kubwa sana maarufu kama Mgaza ni mzigua wa Handeni .
 
Fernandes yupo Uk, hayupo bongo. Na hana branch yyte bongo ana branch Nairobi mirage tower, na kigali uganda, ila Nala ni fintech ya Tanzania.
Yule hakugomea mshahara aligoma mkataba yaani Nala iwe chini ya kampuni akaamua aifungue na aisimamie yy ka ex. Co. Founder.
Unaweza kuwa hta stry ya jamaa wako wa Tanga unanidanganya you luck info brother?
 
Watu wengi wanaotoboa kupitia elimu huwa hawana kelele kama ambao wametoboa kwa hustle za mtaani. Ni kweli mfumo wetu wa elimu una changamoto lakini sio kwa kiwango ambacho tunawanyanyapaa wasomi wetu.

Nina washkaji zangu nimesoma nao o-level pale azania secondary na wengine nimesoma nao a-level mzumbe morogoro. Wapo vizuri na hawana fujo

kwenye jamii yetu kuna watu wengi ambao hawajasoma wanaishi maisha ya kifukara na pale tunapojaliwa kupata chochote tunawasaidia bila masimango ila hawa wakina doto magari sasa akiliotea dili moja tu halafu apate nafasi ya kuhojiwa ni matusi tu kwa wasomi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…