Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Mgaza na ukubwa na umaarufu wake iko maeneo gani, mbona siifahamu, nipe details vzuri. Sisi kubwa kabisa dsm wengi wanafahamu ni Nakiette, KAM, mkuti, kwa umaarufu ila ndogo ni robby one na vunjabei.Ana maabara kubwa sana maarufu kama Mgaza ni mzigua wa Handeni .
Umesema vzuriWatu wengi wanaotoboa kupitia elimu huwa hawana kelele kama ambao wametoboa kwa hustle za mtaani. Ni kweli mfumo wetu wa elimu una changamoto lakini sio kwa kiwango ambacho tunawanyanyapaa wasomi wetu.
Nina washkaji zangu nimesoma nao o-level pale azania secondary na wengine nimesoma nao a-level mzumbe morogoro. Wapo vizuri na hawana fujo
kwenye jamii yetu kuna watu wengi ambao hawajasoma wanaishi maisha ya kifukara na pale tunapojaliwa kupata chochote tunawasaidia bila masimango ila hawa wakina doto magari sasa akiliotea dili moja tu halafu apate nafasi ya kuhojiwa ni matusi tu kwa wasomi.
Nimekupa jina umetafuta? Vile unalazimisha kila mtu kumjua π π π Sasa Fernandes kaleta kitu kina athari mpaka huku , akiwa na matawi kadhaa hata hapo kenya.Fernandes yupo Uk, hayupo bongo. Na hana branch yyte bongo ana branch Nairobi mirage tower, na kigali uganda, ila Nala ni fintech ya Tanzania.
Yule hakugomea mshahara aligoma mkataba yaani Nala iwe chini ya kampuni akaamua aifungue na aisimamie yy ka ex. Co. Founder.
Unaweza kuwa hta stry ya jamaa wako wa Tanga unanidanganya you luck info brother?
Unawajua watu wote wa Dar es salaam ? Wewe asili yako ni wapi ? JMgaza na ukubwa na umaarufu wake iko maeneo gani, mbona siifahamu, nipe details vzuri. Sisi kubwa kabisa dsm wengi wanafahamu ni Nakiette, KAM, mkuti, kwa umaarufu ila ndogo ni robby one na vunjabei.
Nami sijasema kwenda ulaya ni ushindi nimekutoa akila yakimaskini na roho mbaya kwamba wapo wanaenda amba ni wasomi na si madunga embe kma hao ndugu zako waliotoka tanga, tena huwafahamu wote, nafahamu watu watanga wengi walio uk mpka leo na wako fiti, wapo walioenda ulaya wakarudi SA, mfano jimmy magaya, hadi leo sijawahi kuona madunga embe unayoyataja kwamba walifeli. Nakupinga kusema ulaya watu hamna kitu. Toa uo upuuzi. Fanya ww inatosha. Kwanza unanichosha tunaongelea walipo wakina sunday. Wafanye kazi bongo wawe mbele. Cha msingi walipo.Nimekupa jina umetafuta? Vile unalazimisha kila mtu kumjua π π π Sasa Fernandes kaleta kitu kina athari mpaka huku , akiwa na matawi kadhaa hata hapo kenya.
Fernandes kwao sio njaa kama nyie mliyebaki nje , mzee ana pesa ni muhubiri wa kikristo , wana makazi yao pangani , Tanga kama ulikuwa humjui . Alienda kenya baada ya kupata ugumu wa kusajili kampuni yake hapa bongo.
Mfano : Yuko mwingine alipiga sana japo sio TO alienda kusoma nje , akitokea chuo cha Mkwawa ila sasa yuko bongo , kariakoo alipata mtaji anafanya biashara nyingine, ishu ya kwenda nje mbona kawaida sana ..Tatizo ulichosomea umekiendeleza.
Kwanza taja mkoa wako ? Lazima tu uwe mshamba walikutoa kwenye umaskini , unaona aibu kutaja kwenu ...Mkimbizi, wenzenu wanachota maarifa nyie mmebaki kushangaa magorofa π πNami sijasema kwenda ulaya ni ushindi nimekutoa akila yakimaskini na roho mbaya kwamba wapo wanaenda amba ni wasomi na si madunga embe kma hao ndugu zako waliotoka tanga, tena huwafahamu wote, nafahamu watu watanga wengi walio uk mpka leo na wako fiti, wapo walioenda ulaya wakarudi SA, mfano jimmy magaya, hadi leo sijawahi kuona madunga embe unayoyataja kwamba walifeli. Nakupinga kusema ulaya watu hamna kitu. Toa uo upuuzi. Fanya ww inatosha. Kwanza unanichosha tunaongelea walipo wakina sunday. Wafanye kazi bongo wawe mbele. Cha msingi walipo.
Mimi ni mzaliwa wa muhimbili dsm, asili yangu morogoroUnawajua watu wote wa Dar es salaam ? Wewe asili yako ni wapi ? J
Kabisa, naunga mkono hili.Wapo wapi now
Cream hizi na nyinginezo inatakiwa zisaidie Taifa
Sijawahi kuogopa kutaja napotoka. Na hamna mtu kaenda nje akawa hivo. Nimeishi nje, na naishi dsm pia. Kama muda huu yapata miezi miwili nipo dsm. Wapo wengi wananifahamu humu. Ukiwauliza wadau wa jukwaa la siasa wananifahamu sana.Kwanza taja mkoa wako ? Lazima tu uwe mshamba walikutoa kwenye umaskini , unaona aibu kutaja kwenu ...Mkimbizi, wenzenu wanachota maarifa nyie mmebaki kushangaa magorofa π π
Kiufupi hata majina huko nje hamna , mmebaki kama second class la kuajiriwa .
Umezaliwa mwaka gani kwanza? We mshamba wa Moro nilijua tu , kaa kwa kutulia ....Mimi ni mzaliwa wa muhimbili dsm, nimekulia oysterbay, nikahamia kimara temboni, ndipo makazi ya wazee wangu na yangu yalipo.
Baba yangu ni mtu kutoka Morogoro ifakara, Mama yangu ni mngazija ila mama yake ni Mtanga, firstborn kwetu kaka yangu ni mtu wa tanga, Baba yangu amekulia Tanga zaidi ya miaka 20 kabla sijazaliwa na nilizaliwa huku ila mimba ilipatikana Tanga na kaka yangu alizaliwa na kusoma mpaka darasa la saba Tanga huko.
Ila tumeloea dsm all this time sijawahi kaa kabisa mkoa wowote. Kidogo morogoro, nilisoma msolwa advance na mzumbe chuo.
Naona unajiuma mara Moro mara huko , sema wewe wa Moro kwisha .Sijawahi kuogopa kutaja napotoka. Na hamna mtu kaenda nje akawa hivo. Nimeishi nje, na naishi dsm pia. Kama muda huu yapata miezi miwili nipo dsm. Wapo wengi wananifahamu humu. Ukiwauliza wadau wa jukwaa la siasa wananifahamu sana.
Hapa umechemka kakaFernandes yupo Uk, hayupo bongo. Na hana branch yyte bongo ana branch Nairobi mirage tower, na kigali uganda, ila Nala ni fintech ya Tanzania.
Yule hakugomea mshahara aligoma mkataba yaani Nala iwe chini ya kampuni akaamua aifungue na aisimamie yy ka ex. Co. Founder.
Unaweza kuwa hta stry ya jamaa wako wa Tanga unanidanganya you luck info brother?
HakikaWewe achana na elimu ya makaratasi..
Tuambie SASA hivi kupitia hiyo math wamebuni mifumo gan kutatua changamoto kwenye jamiii.
Kupitia hiyo economics wamesolve nn kwenye jamiii...??
Na wala sijajisifia ni kweli mm mshamba second class au third kabisa ni kijana wa 93.πππ. Wala hakuna hulka za ukimbizi zaidi kutafuta maisha. Ww kama umekuwa na uwezo wakujenga madaraja kwa hela zako top tier na mzee wa pharmacy kubwa dsm ni wewe . Ila kidogo nilichoweza nimewekeza kwenye nchi yangu, na hata wazazi wangu waliacha vitu kadhaa. Vijana wa ujenzi waliajiriwa, vijana wa mifugo wapo mpaka leo na tubiashara tuwili tutatu wapo vijana wakitanzania kabisa.Umezaliwa mwaka gani kwanza? We mshamba wa Moro nilijua tu , kaa kwa kutulia ....
Nipe impact za hao watu wako na wwe then nitafute , nyie ni second class wala sio top-tier earners , zile hulka za ukimbizi ndio zinawafanya mnabaki huko ..TO umeifanyia nn nchi yako ?
Mimi wa moroNaona unajiuma mara Moro mara huko , sema wewe wa Moro kwisha .
Nadhani nimetumia sana kiswahili kwenye maandishi yangu kuhama yawezekana nikateleza kwenye uandishi au keyboard imenitegua mambo yapo hayo kwenye uandishi.Hapa umechemka kaka
Luck Ξ§
Lack β
Hajakosea ila hicho anachokifanya hata mtu aliyeungaunga form 4 ya Div 4-Certificate-Diploma-Bachelor Degree+ACCA pia anaweza kukifanya hakuna maajabu yoyote hapoKwani ni mashindano kk. Mtu kasoma, anafanya kampuni ya audit yenye makazi canada, na kupitia yy ina branch hapa amekosea wap?
Acha basi, unabishana, kweli yyte hata ww unaweza ila yeye elimu yake pia imemuweka hapo alipo. Asingesoma tusingemtaja hapa.Hajakosea ila hicho anachokifanya hata mtu aliyeungaunga form 4 ya Div 4-Certificate-Diploma-Bachelor Degree+ACCA pia anaweza kukifanya hakuna maajabu yoyote hapo
Sio Second Class ni Third Class.Kwanza taja mkoa wako ? Lazima tu uwe mshamba walikutoa kwenye umaskini , unaona aibu kutaja kwenu ...Mkimbizi, wenzenu wanachota maarifa nyie mmebaki kushangaa magorofa π π
Kiufupi hata majina huko nje hamna , mmebaki kama second class la kuajiriwa .