Kwa waliosoma Alpha, Sunday Mwakipagala na Henry Mwinjoge hawa jamaa walisumbua sana

Acha basi, unabishana, kweli yyte hata ww unaweza ila yeye elimu yake pia imemuweka hapo alipo. Asingesoma tusingemtaja hapa.
Wewe bado hujajua uhalisia wa maisha ukoje bado una ushabiki ule wa shule/darasani.
You cant see things out of the box,elimu yako imeishia hapo unadhani mtu akitumia vyeti kuajiriwa akawa analipwa mshahara wa milioni 2 ndio tayari amepata achievement.
 
Umemaliza advance msolwa mwaka gani ?
 
I see you unavuka yaani kuna vitu ulitaka kuviongea kwasababu umeona comment nimekujibu kwa kukuunga mkono kuwa uko sahihi, ila bado unadukuduku, mimi sidhani kuwa na vyeti na kupata mshahara ndio umemalza, though it maybe yes, kusoma kupata ajira ya mshahara mzuri ni achievement kubwa tu. Na mada yetu haikua huko, mada aliyehoji ni bwana sunday yupo wapi na akakumbushia. Nimemjibu maana namfahamu huyo bwana. Sijaongelea mshahara wala achievement, maana hata yeye anafanya kazi nzito tu. Hata angekua mbinguni . Amefaulu sana leo hii ni auditor, wapi yupo canada ila sijui sasa. Over. Punguza povu. Mshahra ni achievement kwa msomi yyte kutokana na mazingira, if i can correct you.
 
Tunaelekezana wala usione kuwa nakuonea wivu au namuonea wivu eti kwa vile sijui yuko nje kama unavyoelezea na kuhype mwenyewe.
Hata mimi nikihitaji kwenda nje naebda tu is not a big deal.
Halafu hiyo mishahara kuna watu wako Bongo na hawajawahi kuwa vipanga na wanaipata zaidi ya hizo
 
Una shida pahali, sijahype chochote nimuhype kweli sunday, nisimuhype nsekelah au kilongola au mengi kweli.

Kuhusu nje, hamna mtu wala comment yangu iliyosema mtu anashindwa kwenda nje. Ndio maana hata niliyemjibu nimemjibu kweli madunga embe yapo, ila idadi kubwa watu hutoka nje kutafuta rdhki, sijaweka limitattion who can go, ila connection tu, na ndio ambayo itakupa wewe muongozo au sababu ya wewe kufika nje. Huwezi toka mikocheni, out of nowhere eti mimi naenda ulaya au south africa kuanza maisha. Tena bora south sio mamtoni.

Jibu la mishahara, pia hatujaliongelea hapa, sijui wewe umelitoa wapi, hata sunday tumemuongelea ufaulu wake, na wapi alipo sasa. Mshahara sawa bongo watu wana pesa saaaana. Kwani sisi pia si wabongo tunaishi nao humu. Hata mtaani wapo vipanga.

Come with something what's your point?
 
Tunataka career development ,usituletee mambo ya kampuni za logistics.
 
Wapo wapo tu hawana impact ,wakifa wanasumbua ndugu zako kusafirishwa.
 
Hayo maelezo nimetatoa baada ya kukusoma saikolojia yako inavyowaza coz hayo maisha yote nilishayapitia miaka ya nyuma ndio ukiongea sentensi moja tu nakuwa nishakuview unawaza nini kwa level yako uliyonayo kwa sasa na mwisho wako ni wapi mbeleni so jifunze kuwa msikilizaji mzuri itakusaidia kupata maarifa zaidi mdogo wangu
 
Tunataka career development ,usituletee mambo ya kampuni za logistics.
Hivi wewe bwana huna hata exposure inaonekana, hivi unajua maana ya career development. Hata uwe na muelekeo tofauti na taalumu yako ya awali ni career dvp, career dvp ni mchakato, wakuendeleza maisha yaki ya kikazi, kwa njia yoyote inayokufanikisha, uwe daktari ukachagua naingia biashara kkoo au nauza kuku kutoka Tanga, hayo ni maendeleo ya kitaaluma pia,
Infact umebadirika kutokana na mazingira mfano, umetoka tanga dereva ukaenda Uk unabeba boksi au kazi za viwandani, unatumia ujuzi tofauti lets say kupitia udaktari ukapata connection zaidi ya watu. Au umejifunza ukakuwa, mfano, jamaa yako jana lab tech kesho kafungua pharmacy kubwa dsm keshokutwa anarukia hospital au anajenga hotel au anahamia biashara ya dhahbu, zote ni career dvp. Kijana. Kama huelewi vitu usinipotezee muda.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ please. Any further question not entertaining nakutupa mazima.
 
Unafikiri hata hapa ulipoandika ........hauwezi kuwa mjinga??.........
 
Una tatizo naona huelewi , 🀣 unajua maana ya career development ?

Usome udaktari then uje kumiliki kampuni ya logistics, mimi nimesoma logistics na supply chain napambania nipate kampuni yangu ...Kwangu hata nimiliki pharmacy sio career development .

Kwa level ya chuo ushajua career development ndio maana kwa level ya degree yako kuna course huwezi kusoma kwa level ya masters
.Kama una degree unasema udaktari na kumilika kampuni ya logistics ni career development basi jiangalie mara mbili.πŸ™‚β€β†•οΈπŸ™‚β€β†•οΈ

Tumeongelea kilichokupeleka huko ,ndio maana nakuambia hta hiyo elimu hamuelewi mmeenda kusomea nn.🀣🀣kikubwa mnashangaa magorofa.
 
Unaandika wewe naona aibu mimi sasa daah.

Usome udaktari then uje kumiliki kampuni ya logistics, mimi nimesoma logistics na supply chain napambania nipate kampuni yangu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, unapambana vipi sasa umeajiriwa au ukishapata vyeti gani utafungua kampuni yako. So uko conservative kwamba wewe career dvp ni ukaze mpaka ufanikiwe kufungua kampuni ya logistics. You know what career means?

Kwa maana yako, acha tuendelee kuangalia maghorofa dsm na mamtoni, tukusubirie wewe uje ufungue kampuni ya logistics kama career dvp. Aisee.
Naishia na wewe hapa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ una matatizo mwamba you ain't serious nigga.
 
Career development wakati nafanya kazi kweny career yangu ,nina utaalamu napata ujuzi zaidi ,sio biashara ya kuagiza mzigo china hii maana hata nikuuliza ''bill of lading''itakuwa nakuonea.

Huku kuna mengi nasoma na kujifunza nikiwa live huku mfukoni unatuna ,kumbuka niko kwetu sio mkimbizi.
 
Wewe achana na elimu ya makaratasi..


Tuambie SASA hivi kupitia hiyo math wamebuni mifumo gan kutatua changamoto kwenye jamiii.

Kupitia hiyo economics wamesolve nn kwenye jamiii...??
Jamaa hao saivi wapo ulaya wanakula maisha kwa sabab ya hiyo Elimu ya makaratasi
 
Wakati wewe unasoma bill of lading , maconsignee na kukaririshwa negotiations, hizo mtaani watu wanazichapa wanacheza na barua kila siku, na mtu ni mwanasheria na ana logistic company stable registered did several tenders and alot on the way, career dvlp ni kujikuza kitaalumu, unaweza through udkatri ukajikuza logistics learning lots kuingiza mizigo ya dawa, kuelewa shipping na carriers kurich destination yoyote wewe mwamba, mweupe sana mbele za watu, niache bwanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚endelea kusoma kwanza.
 
Waweza kuta wapo hapa hapa mjini na wamefungua biashara lakini ni car wash..........au sehemu ya kuuza urembo wa bajaj .........cha kujiuliza zile AΒ± zilifanya nini unabaki kushangaa sijui ni hiki chama cha manjano au buluu .........laana hizi
 

Attachments

  • Screenshot_20250302-183246.jpg
    213.9 KB · Views: 1
Nipo kweny field kiasi ambacho najua kila step ,najua kutumia mifumo yote kama Single window ,tancis nikiwa na account kabisa..

Wewe huna wala hujui ,mnapiga na maagent hawa wa clearing ans forwarding🀣🀣🀣..Hii ndip elimu sio kutumia mtu kati ,najua in incoterms zote ili kufanya negotitions...Hao wa kariakoo si unasikia wanalia huko mizigo hawaipati hata kufanya tracking hawajui 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…