Unfortunately, huyo supervisor wao hakuniambia lolote juu ya code husika waliniambia tu Kuwa Mafuta yetu hapa ni ya kiwango cha chini!!! Wapi ninaweza kupata maelezo ya kina juu ya hili tatizo?Inaweza ikawa ni sawa kwa asilimia fulani. kwa sababu magari mengi ya Nissan yanachagua chagua mafuta....sasa kama mafuta ni ya low quality, yanaweza yakawa hayaungui vizuri, yakafanya oxygen sensor ichafuke sana...ndiyo upate hiyo ckeck engine ligh.
Tafuta fundi afanye diagnosis ili ujue code gani inajitokeza. kisha hiyo code itatafseiwa kujua ni nini tatizo.Unfortunately, huyo supervisor wao hakuniambia lolote juu ya code husika waliniambia tu Kuwa Mafuta yetu hapa ni ya kiwango cha chini!!! Wapi ninaweza kupata maelezo ya kina juu ya hili tatizo?
Nimewaleta mafundi toka CFCO na computer lakini hawaniambii lolote la maana inaelekea hawajui jinsi ya kutumia na kutafsiri hizo computer!!! Natafuta fundi mwenye kujua anafanya nini!Tafuta fundi afanye diagnosis ili ujue code gani inajitokeza...kisha hiyo code itatafseiwa kujua ni nini tatizo...
Wese uwe unajaza Total au Puma ka gari yako sio ToyotaNimewaleta mafundi toka CFCO na computer lakini hawaniambii lolote la maana inaelekea hawajui jinsi ya kutumia na kutafsiri hizo computer!!! Natafuta fundi mwenye kujua anafanya nini!
Naomba msaada wenu wakuu, nilipeleka Nissan-X-Terra kule kwa dealer ambaeni D.T.Dobie ya zamani kuhusu gari kuonesha taa ya CHECK ENGINE kuwaka hata baada ya kuifanyia service!! Wakaniambia sababu kubwa ya hiyo taa kuwaka ni sababu ya grade ya Mafuta tunayotumia Kuwa ya chini ukilinganisha na yale ya ulaya ndio maana taa inawaka!! Je hiyo ndio sababu ya hiyo taa ya check engine kuwaka?
Mkuu pole sana, mi nimetumia sana nnalo hilo huu mwaka wa 6, simply pale itv au river side kuna fundi anachomeka diagnostic mashine itakusomea error code na maana yake unafix.Kama tatizo bado njoo pm nikuelekeze what and who atakusaidia.
Mara nyingi taa ya check engine huwaka kwa matatizo ambayo wanayaita (Emmision related issues). Yaani chochote ambacho kitafanyika kwenye gari yako na kikapelekea gari yako kuchafua mazingira basi taa ya check engine itawaka. Ambapo hapa mara nyingi Oxygen sensor huwa inahusishwa.Naomba msaada wenu wakuu, nilipeleka Nissan-X-Terra kule kwa dealer ambaeni D.T.Dobie ya zamani kuhusu gari kuonesha taa ya CHECK ENGINE kuwaka hata baada ya kuifanyia service!! Wakaniambia sababu kubwa ya hiyo taa kuwaka ni sababu ya grade ya Mafuta tunayotumia Kuwa ya chini ukilinganisha na yale ya ulaya ndio maana taa inawaka!! Je hiyo ndio sababu ya hiyo taa ya check engine kuwaka?
Mara nyingi taa ya check engine huwaka kwa matatizo ambayo wanayaita (Emmision related issues). Yaani chochote ambacho kitafanyika kwenye gari yako na kikapelekea gari yako kuchafua mazingira basi taa ya check engine itawaka. Ambapo hapa mara nyingi Oxygen sensor huwa inahusishwa...
Mara nyingi taa ya check engine huwaka kwa matatizo ambayo wanayaita (Emmision related issues). Yaani chochote ambacho kitafanyika kwenye gari yako na kikapelekea gari yako kuchafua mazingira basi taa ya check engine itawaka. Ambapo hapa mara nyingi Oxygen sensor huwa inahusishwa.
Kamanda Magomeni Mwembechai gereji gani/ wapi?
Je kama OXYGEN sensor inawalakini , je husafishwa au ni lazima ibadilishwe? Je kwa gari ya NISSAN X-TERRA hiyo sensor inaweza kupatika Dar au mpaka iagizwe?
Je kama OXYGEN sensor inawalakini , je husafishwa au ni lazima ibadilishwe? Je kwa gari ya NISSAN X-TERRA hiyo sensor inaweza kupatika Dar au mpaka iagizwe?
Infact hizo sensor si kila model ya gari inakuwa na sensor yake. Unaweza kuta hata model 10 za nissan zinatumia sensor za aina moja. Ni kitu cha kawaida tu...
Nashukuru kamanda tutawasiliana.
Kule itv nadhani anaongelea spring city enterprises garage ya wachinaUnaweza kuniambia jina la gereji ya hapo ITV?
Kule itv nadhani anaongelea spring city enterprises garage ya wachina
19.Nissan Hardbody
20.Nissan Navara
Kule itv nadhani anaongelea spring city enterprises garage ya wachina
Hili gari sijawahi lielewa kabisa yani18. Nissan Wingroad