Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

Inaweza ikawa ni sawa kwa asilimia fulani. kwa sababu magari mengi ya Nissan yanachagua chagua mafuta....sasa kama mafuta ni ya low quality, yanaweza yakawa hayaungui vizuri, yakafanya oxygen sensor ichafuke sana...ndiyo upate hiyo ckeck engine ligh.
Unfortunately, huyo supervisor wao hakuniambia lolote juu ya code husika waliniambia tu Kuwa Mafuta yetu hapa ni ya kiwango cha chini!!! Wapi ninaweza kupata maelezo ya kina juu ya hili tatizo?
 
Unfortunately, huyo supervisor wao hakuniambia lolote juu ya code husika waliniambia tu Kuwa Mafuta yetu hapa ni ya kiwango cha chini!!! Wapi ninaweza kupata maelezo ya kina juu ya hili tatizo?
Tafuta fundi afanye diagnosis ili ujue code gani inajitokeza. kisha hiyo code itatafseiwa kujua ni nini tatizo.
 
Tafuta fundi afanye diagnosis ili ujue code gani inajitokeza...kisha hiyo code itatafseiwa kujua ni nini tatizo...
Nimewaleta mafundi toka CFCO na computer lakini hawaniambii lolote la maana inaelekea hawajui jinsi ya kutumia na kutafsiri hizo computer!!! Natafuta fundi mwenye kujua anafanya nini!
 
Nimewaleta mafundi toka CFCO na computer lakini hawaniambii lolote la maana inaelekea hawajui jinsi ya kutumia na kutafsiri hizo computer!!! Natafuta fundi mwenye kujua anafanya nini!
Wese uwe unajaza Total au Puma ka gari yako sio Toyota
 
Naomba msaada wenu wakuu, nilipeleka Nissan-X-Terra kule kwa dealer ambaeni D.T.Dobie ya zamani kuhusu gari kuonesha taa ya CHECK ENGINE kuwaka hata baada ya kuifanyia service!! Wakaniambia sababu kubwa ya hiyo taa kuwaka ni sababu ya grade ya Mafuta tunayotumia Kuwa ya chini ukilinganisha na yale ya ulaya ndio maana taa inawaka!! Je hiyo ndio sababu ya hiyo taa ya check engine kuwaka?

Mkuu pole sana, mi nimetumia sana nnalo hilo huu mwaka wa 6, simply pale itv au river side kuna fundi anachomeka diagnostic mashine itakusomea error code na maana yake unafix. Kama tatizo bado njoo pm nikuelekeze what and who atakusaidia.
 
Mkuu pole sana, mi nimetumia sana nnalo hilo huu mwaka wa 6, simply pale itv au river side kuna fundi anachomeka diagnostic mashine itakusomea error code na maana yake unafix.Kama tatizo bado njoo pm nikuelekeze what and who atakusaidia.

Unaweza kuniambia jina la gereji ya hapo ITV?
 
Naomba msaada wenu wakuu, nilipeleka Nissan-X-Terra kule kwa dealer ambaeni D.T.Dobie ya zamani kuhusu gari kuonesha taa ya CHECK ENGINE kuwaka hata baada ya kuifanyia service!! Wakaniambia sababu kubwa ya hiyo taa kuwaka ni sababu ya grade ya Mafuta tunayotumia Kuwa ya chini ukilinganisha na yale ya ulaya ndio maana taa inawaka!! Je hiyo ndio sababu ya hiyo taa ya check engine kuwaka?
Mara nyingi taa ya check engine huwaka kwa matatizo ambayo wanayaita (Emmision related issues). Yaani chochote ambacho kitafanyika kwenye gari yako na kikapelekea gari yako kuchafua mazingira basi taa ya check engine itawaka. Ambapo hapa mara nyingi Oxygen sensor huwa inahusishwa.

Ingawa almost sensor zote zinazofanya kazi kwenye engine management zikileta shida zinaweza kuwasha taa ya check engine.

In case kama ukishindwa kutatua ishu yako unaweza kunicheck nikakupimia na nikakuonesha shida ipo sehemu gani na nikakutengenezea kama ukitaka.

Napatikana Magomeni, Mwembechai.
 
Mara nyingi taa ya check engine huwaka kwa matatizo ambayo wanayaita (Emmision related issues). Yaani chochote ambacho kitafanyika kwenye gari yako na kikapelekea gari yako kuchafua mazingira basi taa ya check engine itawaka. Ambapo hapa mara nyingi Oxygen sensor huwa inahusishwa...

Kamanda Magomeni Mwembechai gereji gani/ wapi?
 
Mara nyingi taa ya check engine huwaka kwa matatizo ambayo wanayaita (Emmision related issues). Yaani chochote ambacho kitafanyika kwenye gari yako na kikapelekea gari yako kuchafua mazingira basi taa ya check engine itawaka. Ambapo hapa mara nyingi Oxygen sensor huwa inahusishwa.

Je, kama OXYGEN sensor inawalakini , je husafishwa au ni lazima ibadilishwe? Je kwa gari ya NISSAN X-TERRA hiyo sensor inaweza kupatika Dar au mpaka iagizwe?
 
Je kama OXYGEN sensor inawalakini , je husafishwa au ni lazima ibadilishwe? Je kwa gari ya NISSAN X-TERRA hiyo sensor inaweza kupatika Dar au mpaka iagizwe?

Oxygen sensor ikiharibika mara nyingi hubadilishwa. Kama ikijaa uchafu mara nyingi uchafu huo huwa ni carbon ambazo hujaa kwenye matundu fulani ambayo ni madogo na hivyo kupelekea usafishaji kuwa mgumu.

Pia kuna njia zaidi ya moja kwa oxygen sensor kuleta shida. Lakini pia si kila tatizo linalokupa code ya oxygen sensor ni sensor yenyewe sometimes huwa baadhi ya vitu around hizo sensor n.k.

Mwisho hizo sensor zipo kwa dar. Hata kama ingekuwa sensor yoyote kwenye hiyo gari yako inapatikana.
 
Je kama OXYGEN sensor inawalakini , je husafishwa au ni lazima ibadilishwe? Je kwa gari ya NISSAN X-TERRA hiyo sensor inaweza kupatika Dar au mpaka iagizwe?

Infact hizo sensor si kila model ya gari inakuwa na sensor yake. Unaweza kuta hata model 10 za nissan zinatumia sensor za aina moja. Ni kitu cha kawaida tu...
 
Kule itv nadhani anaongelea spring city enterprises garage ya wachina

Sidhani kama JituMirabaMinne alikuwa ana maana ya hiyo gereji ya Wachina kwani amesema yeye anaweza kufanya diagnosis na nikipenda anaweza kurekebisha tatizo.
 
Wakuu kuna mdau anataka kuniuzia Nissan Safari ya Zamani kidogo, naomba kujua wataalam wa kupimp hizi gari kwa Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom