Unfortunately, huyo supervisor wao hakuniambia lolote juu ya code husika waliniambia tu Kuwa Mafuta yetu hapa ni ya kiwango cha chini!!! Wapi ninaweza kupata maelezo ya kina juu ya hili tatizo?Inaweza ikawa ni sawa kwa asilimia fulani. kwa sababu magari mengi ya Nissan yanachagua chagua mafuta....sasa kama mafuta ni ya low quality, yanaweza yakawa hayaungui vizuri, yakafanya oxygen sensor ichafuke sana...ndiyo upate hiyo ckeck engine ligh.