Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

Nimewaleta mafundi toka CFCO na computer lakini hawaniambii lolote la maana inaelekea hawajui jinsi ya kutumia na kutafsiri hizo computer!!! Natafuta fundi mwenye kujua anafanya nini!
Hizi ndio kero ambazo hutakaa uzipitie ukiwa na Toyota, unless ununue 2021 model iliotoka kiwandani mwezi huu halafu ikuletee shida
 
👍👍
 
....hahaha...ufundi wa gari kwa mfano gari liliharibika injini, ulitatiluaje na ni spea gani ilikuwa shida...[emoji16]
Anhaaa kumbe ivyo c ungesema Sasa jaman

Ngoja likiharibika ntakuja kuelezea[emoji23][emoji23]
 
Anhaaa kumbe ivyo c ungesema Sasa jaman

Ngoja likiharibika ntakuja kuelezea[emoji23][emoji23]
ooh sawa usitunyime mrejesho plzzz..[emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16]
 
I just bought my first Subaru (Forester 2015 XT). What are some important maintenance steps to know about so my car lasts many years and miles?
 
Nissan hazina changamoto wenye changamoto Ni mfuko wako.
Mkuu kuna ndugu yangu huko moshi alikuwa na noah akaivunja na nissan pickup ukiichek body ya hiyo nissan ilivyosukwa ni noma kumbe engine ilikuwa kimeo baada ya miezi mashine ilivyoanza kumiss [emoji23][emoji23][emoji23] na mbwembwe zote ziliishia pale kwenye mafundi nako ni wachache wenye uwezo wa kuyatibu lilimnyonya hela kidogo limnyonye na damu[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…