Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ndio kero ambazo hutakaa uzipitie ukiwa na Toyota, unless ununue 2021 model iliotoka kiwandani mwezi huu halafu ikuletee shidaNimewaleta mafundi toka CFCO na computer lakini hawaniambii lolote la maana inaelekea hawajui jinsi ya kutumia na kutafsiri hizo computer!!! Natafuta fundi mwenye kujua anafanya nini!
👍👍Unajua mentality ya Kibongo kuhusu Toyota ni mbaya sana...yaani kuanzia mafundi mpaka wamiliki huwaambii kitu kuhusu toyota.....
Mfano mrahisi nchi nyingi za west Africa magari kama VW na mengine ya Ulaya yanatawala hizo toyota hazina nafasi..
Kuke unakuta VW zimejaa mpaka zinapiga kazi kama taxi....
Toyota kukubalika Tz haimaanishi kuwa ndiyo gari bora zaidi ya yote, kuna ukanda mwingine hazikubaliki unaweza kuta mazda ndiyo inakubalika
tuelezane ni changamoto gani umekutana nazo na ulizitatuaje endapo unamiliki gari lolote kutoka Nissan..[emoji4][emoji4]Tumeshakuja tuambie Sasa
[emoji16][emoji16]
Changamoto gani Tena JAMANI...[emoji16]tuelezane ni changamoto gani umekutana nazo na ulizitatuaje endapo unamiliki gari lolote kutoka Nissan..[emoji4][emoji4]
...za kiufundi, mfano kama gari lilizingua kitu flani..[emoji1][emoji1]Changamoto gani Tena JAMANI...[emoji16]
Ufundi gani Tena JAMANI,,,,mm unazidi nipoteza et[emoji16]...za kiufundi, mfano kama gari lilizingua kitu flani..[emoji1][emoji1]
Tafuta bei za Rav 4 halafu uje urudi na hii commentMkuu sijawahi kumiliki Xtrail....waliowahi kuimili watatusaidia...
Ila ninachofahamu toleo la gari likishapitwa na wakati bei yake sokoni hushuka ili kufanya yaishe na kuruhusu toleo jipya kutawala soko
Sent using Jamii Forums mobile app
....hahaha...ufundi wa gari kwa mfano gari liliharibika injini, ulitatiluaje na ni spea gani ilikuwa shida...[emoji16]Ufundi gani Tena JAMANI,,,,mm unazidi nipoteza et[emoji16]
Rav 4 ipi....zipo nyingi..Tafuta bei za Rav 4 halafu uje urudi na hii comment
Anhaaa kumbe ivyo c ungesema Sasa jaman....hahaha...ufundi wa gari kwa mfano gari liliharibika injini, ulitatiluaje na ni spea gani ilikuwa shida...[emoji16]
ooh sawa usitunyime mrejesho plzzz..[emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16]Anhaaa kumbe ivyo c ungesema Sasa jaman
Ngoja likiharibika ntakuja kuelezea[emoji23][emoji23]
Usijari mkuu Imepita hiyo lazima tusaidiane Yanooh sawa usitunyime mrejesho plzzz..[emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16]
Toyota Tena, mbona unaturudisha tulipotoka 1990's?Hizi ndio kero ambazo hutakaa uzipitie ukiwa na Toyota, unless ununue 2021 model iliotoka kiwandani mwezi huu halafu ikuletee shida
Nissan hazina changamoto wenye changamoto Ni mfuko wako.tuelezane ni changamoto gani umekutana nazo na ulizitatuaje endapo unamiliki gari lolote kutoka Nissan..[emoji4][emoji4]
Itakua Probox [emoji16]
Mkuu kuna ndugu yangu huko moshi alikuwa na noah akaivunja na nissan pickup ukiichek body ya hiyo nissan ilivyosukwa ni noma kumbe engine ilikuwa kimeo baada ya miezi mashine ilivyoanza kumiss [emoji23][emoji23][emoji23] na mbwembwe zote ziliishia pale kwenye mafundi nako ni wachache wenye uwezo wa kuyatibu lilimnyonya hela kidogo limnyonye na damu[emoji23]Nissan hazina changamoto wenye changamoto Ni mfuko wako.