Kwa wana CCM wacha Mungu: Je, mnaamini mmeshinda kihalali na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Kila mmoja wetu atasimama mbele za kiti cha hukumu

Pointi moja shika biblia yako au Msaahafu sema kutoka ndani kuwa uchaguzi ulikuwa na huru na haki na Mungu aoneye sirini atakujaza
Mungu kamchagua Magufuli awe Rais imetosha,akuna tena makorokoro mengine.
 
Mungu kamchagua Magufuli awe Rais imetosha,akuna tena makorokoro mengine.
Mungu kweli???

Upumbavu wa Mungu ni zaidi ya hekima ya mwanadamu!

Magufuli hachaguliwa na Mungu wala wananchi wajamchagua !
 
Hoja ya vivianet nimekuwa naitafakari sana.baadhi ya wezi wa kura wakatoliki pengine wataungama kwa Padre,lakini dhambi kamahiyo huondoka kwa kujiuzulu! Mbingu wengine wataishia mbingu ya Chamwino/magogoni
 
Aisee nikikutana nao Kanisani huwa naumia sana na Ibada yangu huwa inaishia hapo
 
Tunamshukuru Sana Mungu wetu Mkuu kwani yule mpinga kristo ametoroka na Nchi yetu Sasa ipo salama.

Siku zote maombi hufanya kazi
 
Pointi moja shika biblia yako au Msaahafu sema kutoka ndani kuwa uchaguzi ulikuwa na huru na haki na Mungu aoneye sirini atakujaza
Sidhani kama atashindwa kufanya hivyo.Usisahau kwamba watu huwa wanaapishwa huku wameshika hivyo vitabu.So business as usual.
 
Mungu hashughuliki na mambo ya siasa, haya ametuachia wenyewe. Mtu wa kuogopa sana siku ya kusimama mbele ya mungu ni Lissu! Na sababu yenyewe ni kushirikiana na wazungu kuendelea kukandamiza watoto wa mungu (waafrika).
 
Labda Mungu hahusiki na mambo ya haki, yeye ni wa kutanguliza mbere tu....
 
Uchaguzi umeisha, CCM imeshinda kwa kishindo, Lissu karudi kwa mabwana zake, Mbowe, Sugu, Mdee, Zitto, Lema na wengine wengi watatafuta shughuli zingine za kufanya na sisi tuache malumbano yasiyonatija tuchape kazi.
ewe kibaraka wa watawala, kwenye teuzi watakukumbuka kweli?!.
 
Mioyo yao imekuwa sugu. Hawajali lolote hata baada ya maisha haya. Miaka takribani 60 madarakani ni ulevi mzito. "They are totally drunk. They do everything possible to remain in power at the expense of the wish the citizens. They no more see the Tanzanian citizens as their bosses but subjects.
 
Ni kweli Kuna mwenzenu alisema ushindi wa CCM ni lazima Mungu atake asitake ushindi ni lazima bahati mbaya amefariki wiki iliyopita.Hii ni picha halisi kuwa CCM kwenu MUNGU siyo chochote!
Shabiki wa walevi ni mlevi.
 
Uchaguzi umeisha, CCM imeshinda kwa kishindo, Lissu karudi kwa mabwana zake, Mbowe, Sugu, Mdee, Zitto, Lema na wengine wengi watatafuta shughuli zingine za kufanya na sisi tuache malumbano yasiyonatija tuchape kazi.
Sugu anamiliki 3 stars hotel ...acha kujitekenya
 
Uchaguzi umeisha, CCM imeshinda kwa kishindo, Lissu karudi kwa mabwana zake, Mbowe, Sugu, Mdee, Zitto, Lema na wengine wengi watatafuta shughuli zingine za kufanya na sisi tuache malumbano yasiyonatija tuchape kazi.

Jibu swali je wewe kama mcha Mungu unaamini walishinda kwa haki na moyo wako unaamini hivyo?
 
Ni kweli Kuna mwenzenu alisema ushindi wa CCM ni lazima Mungu atake asitake ushindi ni lazima bahati mbaya amefariki wiki iliyopita.Hii ni picha halisi kuwa CCM kwenu MUNGU siyo chochote!
Mwingine alisema kwamba jambo Lao limetiki, mnafikiri alikuwa anamaanisha nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…