Kwa wana CCM wacha Mungu: Je, mnaamini mmeshinda kihalali na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Kila mmoja wetu atasimama mbele za kiti cha hukumu

Waliagizwa na Mungu wafanye hivyo. ila swali ni kama wanaamini walishinda kihalali na mioyo yao inashuhudia bila hatia
Waliagizwa na MUNGU waue? Ss nafsi na mioyo yao inashuhudia hilo bila hatia!? Maana hata ccm wanaweza jibu tu ni maagizo ya MUNGU nchi isiangukie kwa watu wabaya.
 
Hahahaaa.unachekesha kweli.hata mbinguni hamna democracy. Kama ipo basi shetani alitakiwa abaki mbinguni. sasa jiulize kwanini alitupwa kuzimu
 
Mungu kweli???

Upumbavu wa Mungu ni zaidi ya hekima ya mwanadamu!

Magufuli hachaguliwa na Mungu wala wananchi wajamchagua !
Mungu aliebariki Mbowe kuwa mwenyekiti wakudumu Chadema ndo huyo aliempa ushindi wa kishindo Magufuli.
 
Uchaguzi umeisha, CCM imeshinda kwa kishindo, Lissu karudi kwa mabwana zake, Mbowe, Sugu, Mdee, Zitto, Lema na wengine wengi watatafuta shughuli zingine za kufanya na sisi tuache malumbano yasiyonatija tuchape kazi.
Ujinga ni kusema tuchape kazi wakati hata kibaruwa huna na unakaa kwa shemeji.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Rashid Gwajima ndio aina ya maaskofu waliopo ccm, na masheikh wa aina ya Alhad Musa, hawa mungu wao ni Lucifer.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Uchafuzi kwasababu nyie Chadema ndio mliouleta huo uchafu afu mkajikamata nyie wenyewe.
Kuchapisha kura fake na kutamba nazo mitaani tena kwenye vituo vya kupigia kura tena kwenye siku ya kupiga kura ni very serious crime,ni kosa la jinai ambalo ni serious sana!Sasa kama ni chadema walichapisha kura fake kwa nini hawajakamatwa na polisi na kushtakiwa kwa kutenda kosa hilo ambalo ni very serious crime?
 
Hata kukua akiliwa na mwewe hua analaani hivyo hadi anaisha
 
Uchaguzi ulikuwa huru na haki.Tofauti na chaguzi zilizopita uchaguzi wa 2020,upinzani haukujiandaa.
Chadema hawakuwa wamoja.Kampeni ya urais aliachiwa mgombea pekee,wabunge Kila mmoja Alikuwa kivyake,hapakuwa na coordination Kati ya field officials na head office.
Kubwa na Kali Ni ujumbe uliokuwa unasemwa na mgombea urais kwenye kampeni,haukuwa ujumbe wa kutaka kushinda uchaguzi,Katibu Mkuu wa chama hakuwa mgombea wa Jimbo lo lote,katika Hali ya kawaida alitakiwa kuwa mshereheshaji mkuu wa mgombea,lakini Hilo alikuwepo.
 
Kwa akili yako ikiwa timamu kabisa pasipo matumizi ya kilevi kama pombe au bangi ulikuwa unaamini kabisa kwamba Lissu anaweza kumshinda Magufuli?.

Lowassa ndiye aliyekuwa mtihani mkubwa kwa CCM 2015, alikuwa na pesa, ushawishi na hekima ya kiuongozi Lissu hana sifa hizo ni mwanaharakati tu.

Hata hao wabunge wa upinzani walikwisha kuonekana kuwa hawana jipya, walikosa substance katika ubunge wao.
 
Kwahiyo hizi ndii sababu za kuwafanye muibe kura?

Vipi na wabunge?

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Wahusika wote wamekimbilia nje ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…