Kwa Wanandoa: Bila tendo la ndoa hakuna ndoa(?)

Cjui nimepitwa celewi kabisa huyu shetani kwann anazidi kutawala watu hii caibu kwa walioamini
 
Watu wanamtumia YESU kwa kutapeli watu tu,mioyo iko mbali.

Mungu hamfichi mnafiki ipo cku utaumbuka tu ndo mana cku hiz ni kawaida kusikia viongoz wa dini wanafumaniwa nk hii yote ni kujivika wokovu ambao ni tofauti na matendo huku waumini wakijua wanaongozwa na mtu sahihi
 
najaribu kutafakari utamu wa tendo la ndoa kwa upande wa wanaume huwa sielewi kwa sabau huwa nawaona wanachoka sana .... sasa kinachokufanya ukimbilie kuchoka ni nini? kakunyima si uvumilie tu jamani
 
nasema na nasema tena ukishampa mwanamke nafasi akamiliki pesa kuliko mwanaume umekwisha.
Huo sasa ni mfumo dume.Ina maana mwanamke hapaswi kuwa na fedha kuliko mwanaume? suala la pesa sio issue, bali wao wenyewe wanajua.Kumbuka kuwa hawa wanandoa walioana wakiwa bado vijana sana.Na ninadhani hata umri huenda wanalingana ni shida.Heri mmoja akuzidi hata miaka minne au mitano lakini wote mkiwa level moja ni hatari kwa maisha ya sasa.Cha muhimu ni kuwaombea wote .Kuwaombea wenye ndoa.kwani kuna shetani naye yupo anapambana na mwanadamu hasa kwa wale walioko upande wa Mungu.
 
najaribu kutafakari utamu wa tendo la ndoa kwa upande wa wanaume huwa sielewi kwa sabau huwa nawaona wanachoka sana .... sasa kinachokufanya ukimbilie kuchoka ni nini? kakunyima si uvumilie tu jamani

Hata mimi sivumilii ukininyima nakula wadogo zako.
 
najaribu kutafakari utamu wa tendo la ndoa kwa upande wa wanaume huwa sielewi kwa sabau huwa nawaona wanachoka sana .... sasa kinachokufanya ukimbilie kuchoka ni nini? kakunyima si uvumilie tu jamani

utamu kwa mwanaume umepitiliza, ila hata ninyi si huwa uvumilivu unawashinda?
 
najaribu kutafakari utamu wa tendo la ndoa kwa upande wa wanaume huwa sielewi kwa sabau huwa nawaona wanachoka sana .... sasa kinachokufanya ukimbilie kuchoka ni nini? kakunyima si uvumilie tu jamani
Uvumilivu wa kunyimwa! Haya ni majaribu ni bora kuvumilia katika ugonjwa si katika kunyimwa.
 
Back
Top Bottom